Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,433
- 8,585
Ifaulu wake ukoje? A level au O level?Nahitaji kumhamishia binti yangu toka shule ya kutwa kwenda ya Bweni chaguo la haraka ni shule za Mkoani Arusha.
Naomba wadau mnijuze shule nzuri za wasichana za Serikali za bweni zilizoko Arusha
Ahsanteni
Mie pia nahitaji shule yeyote ya bweni ya sekondari nimuamishie kijana wangu kapangiwa shule ya kutwa, nipo MtwaraNahitaji kumhamishia binti yangu toka shule ya kutwa kwenda ya Bweni chaguo la haraka ni shule za Mkoani Arusha.
Naomba wadau mnijuze shule nzuri za wasichana za Serikali za bweni zilizoko Arusha
Ahsanteni
Peleka Private kwa Mwalimu Samuel Elisha Enaboishu Secondary +255 713 885 111. Uhakika Kuelewa na Kufaulu MafunzoNahitaji kumhamishia binti yangu toka shule ya kutwa kwenda ya Bweni chaguo la haraka ni shule za Mkoani Arusha.
Naomba wadau mnijuze shule nzuri za wasichana za Serikali za bweni zilizoko Arusha
Ahsanteni
Mwamba unajipigia closs dongo siyo?.Peleka Private kwa Mwalimu Samuel Elisha Enaboishu Secondary +255 713 885 111. Uhakika Kuelewa na Kufaulu Mafunzo
Kama ni A level,Arusha Secondary kuna bweni kwa wasichana.Nahitaji kumhamishia binti yangu toka shule ya kutwa kwenda ya Bweni chaguo la haraka ni shule za Mkoani Arusha.
Naomba wadau mnijuze shule nzuri za wasichana za Serikali za bweni zilizoko Arusha
Ahsanteni