Shule za VIPAJI maalum: Nini dhumuni lake hasa?

Mwanafunzi anatumia robo tatu ya siku katika kusoma alafu akifaulu unataka tumuone kuwa ana kipaji, hapana hili halipo sahihi hata kidogo. Kuomba ubaki ulipokwenda kusoma si kigezo cha kuona kuwa huyo mtu ana kipaji, ila inaweza kuwa ni cheap labour kwa kuwa hawakukugharamia masomo yako toka shule ya msingi hadi A-level.

Ahahahahhahahahahaahha!!!!!! daaah
 
"Coming president wa tz" maana yake ndo nini?
Kwa uwelewa wangu mdogo niliofundishwa ni kwamba mjadala huwa unafundisha endapo wanaojadili hilo jambo wanaelewa nini maana ya optimal ignorance .Ila nilichogundua ni kwamba wewe uwelewa wako ni mkubwa zaidi yetu wote tunaojadili na hakuna anayejua zaidi yako . Hoja unaikimbia unaanza kukosoa makosa madogo madogo ya kiuandishi (kwa mtazamo wangu). Unanikumbusha kipindi kile tupo o-level kwenye debate (anaweza akasimama mtu na kumwambia mwongeaji/mtoa hoja kwa idhini ya mwenyekiti "hujachomekea shati lako vizuri")

Nilikuwa namaanisha raisi ajae wa tz.
 
shule za wenye vipaji maalumu zipo hata nchi zingne kama usa.
HADI university zipo kwa mfano qualification za kuingia stanford univ.havard,m.i.t ni za juu zaidi ya vyuo vingine.lakini nao bado wana consider academic qualification

kweli kabisa,kitu 'ivy league'
 

Duu...kweli we lengo lako ni kupotosha Kwa makusudi..mwl Nyerere kasoma pale na ilikua tayari ni special
 
Tizameni movie inaitwa 3 indian ------ enginears hapo utaona maana halisi ya kipaji au kukariri
 
Duu...kweli we lengo lako ni kupotosha Kwa makusudi..mwl Nyerere kasoma pale na ilikua tayari ni special

Naomba radhi kwa issue ya Tabora boys,lengo langu halikuwa ku compare special ipi ni best kuliko nyingine,
nili lack info about Tabora boys.
THANKS.
 
Wale ni shule ambazo zilibahatika kuwapata wasomaji na kukesha na wazee wa kuklemu wa wa shule za msingi so haimanishi ni bright kiivyo ndio maana kuna mazezeta tulioenda jangwani na zanaki na shule zingine tunakula maisha kushinda wa😵VER
 
Wale ni shule ambazo zilibahatika kuwapata wasomaji na kukesha na wazee wa kuklemu wa wa shule za msingi so haimanishi ni bright kiivyo ndio maana kuna mazezeta tulioenda jangwani na zanaki na shule zingine tunakula maisha kushinda wa😵VER

Hata we nadhani ungetamani kua na cv yenye tabora girls ama kilakara bt mafuta yalikata So unaumia
 

Kwenye hili nami nilibahatika kusoma O level Technical School, kimsingi wakati ule watu walikuwa wanasoma bhana. Samahani kama nitakwaza watu hapa ila ukweli kabisa enzi zile miaka ya tisini hawa woote tunaowaona leo.wamefaulu shule zetu hizi za kata kwa wakati ule wangekuwa WAMEFAIL Mtihani, ila kwa sasa kwa kuwa tunacheza na Quantity badala ya Quality elimu inazidi kushuka. Jambo pekee tunaloweza kujisifu kwa sasa ni wigo wa watu wanaojua kusoma na kuandika tu. Hivyo kwa wakati ule shule za vipaji maalumu kweli ilikuwa maalumu hasa. Kwa sasa zimedorora. Uzuri ni kwamba hawa hawa walioshika nafasi za mwanzo kwenye hizo shule za Private mukikutana huko chuo kikuu kwa kuwa kule hamna kulishwa sana wengi wanakuwa wazuri lakini bado watakutana na changamoto za watu ambao hawakushika nafasi za juu sana si kwa sababu hawana uwezo, bali mazingira ya shule walizotoka, na hivyo wanapofika Elimu ya Juu ambayo ufundishwaji wake uko tofati na kule chini basi unakuta matokeo yanabadilika kabisa. Japo wakati ule hizi shule za Private hazikuwa nyingi ila zilikuwepo na bahati ni kuwa huku juu tukakutana na wanafunzi mchanganyiko. Aisee asikudanganye mtu, mwanafunzi wa Kayumba akipata DivII kwa mfano huyo ni mkali sana kuliko yule aliyelishwa wa st..!
 
Wale ni shule ambazo zilibahatika kuwapata wasomaji na kukesha na wazee wa kuklemu wa wa shule za msingi so haimanishi ni bright kiivyo ndio maana kuna mazezeta tulioenda jangwani na zanaki na shule zingine tunakula maisha kushinda wa😵VER

Kama mtu anaweza kukremu masomo 10 na yote anaweka misonge kwenye mtihani wa Taifa kwa nini usimkubali tu?

Wewe mbona ulishindwa kufanya hivyo kama unadhani kukremu ni kitu kirahisi tu?
 
Sasa ww jamaa watu8 nasikia ni Dokta, na mida mwingi uko humu unatibu sa ngapi? Na u-kipaji maalumu hivi huwa ni class tu mbona humu Jf na mitaani no clear line kutenganisha l & t?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…