Shule za VIPAJI maalum: Nini dhumuni lake hasa?

Shule za VIPAJI maalum: Nini dhumuni lake hasa?

Mwanafunzi anatumia robo tatu ya siku katika kusoma alafu akifaulu unataka tumuone kuwa ana kipaji, hapana hili halipo sahihi hata kidogo. Kuomba ubaki ulipokwenda kusoma si kigezo cha kuona kuwa huyo mtu ana kipaji, ila inaweza kuwa ni cheap labour kwa kuwa hawakukugharamia masomo yako toka shule ya msingi hadi A-level.

Ahahahahhahahahahaahha!!!!!! daaah
 
"Coming president wa tz" maana yake ndo nini?
Kwa uwelewa wangu mdogo niliofundishwa ni kwamba mjadala huwa unafundisha endapo wanaojadili hilo jambo wanaelewa nini maana ya optimal ignorance .Ila nilichogundua ni kwamba wewe uwelewa wako ni mkubwa zaidi yetu wote tunaojadili na hakuna anayejua zaidi yako . Hoja unaikimbia unaanza kukosoa makosa madogo madogo ya kiuandishi (kwa mtazamo wangu). Unanikumbusha kipindi kile tupo o-level kwenye debate (anaweza akasimama mtu na kumwambia mwongeaji/mtoa hoja kwa idhini ya mwenyekiti "hujachomekea shati lako vizuri")

Nilikuwa namaanisha raisi ajae wa tz.
 
shule za wenye vipaji maalumu zipo hata nchi zingne kama usa.
HADI university zipo kwa mfano qualification za kuingia stanford univ.havard,m.i.t ni za juu zaidi ya vyuo vingine.lakini nao bado wana consider academic qualification

kweli kabisa,kitu 'ivy league'
 
Kwa hiyo ni "vipaji maalum" kwenye masomo tu?


Is this fair?
Nimebahatika kusoma miaka 6 huko, MZUMBE o level,then Kibaha A Level,nilipo htm miaka kadhaa ilopita.
Wanafunzi wanaachwa kama kuku wa kienyeji,sylabi haziwi covered,then wanasoma kupita kiasi [hata wengine huchizika]


Walimu wenye vipaji wapo aisee!
Namkumbuka Wibonele Mz [RIP] na Sir Mgina KBH,LOL!








Mkuu,T.Boys imepewa hadhi ya u special miaka ya 2000's!

Duu...kweli we lengo lako ni kupotosha Kwa makusudi..mwl Nyerere kasoma pale na ilikua tayari ni special
 
Tizameni movie inaitwa 3 indian ------ enginears hapo utaona maana halisi ya kipaji au kukariri
 
Duu...kweli we lengo lako ni kupotosha Kwa makusudi..mwl Nyerere kasoma pale na ilikua tayari ni special

Naomba radhi kwa issue ya Tabora boys,lengo langu halikuwa ku compare special ipi ni best kuliko nyingine,
nili lack info about Tabora boys.
THANKS.
 
Wale ni shule ambazo zilibahatika kuwapata wasomaji na kukesha na wazee wa kuklemu wa wa shule za msingi so haimanishi ni bright kiivyo ndio maana kuna mazezeta tulioenda jangwani na zanaki na shule zingine tunakula maisha kushinda wa😵VER
 
Wale ni shule ambazo zilibahatika kuwapata wasomaji na kukesha na wazee wa kuklemu wa wa shule za msingi so haimanishi ni bright kiivyo ndio maana kuna mazezeta tulioenda jangwani na zanaki na shule zingine tunakula maisha kushinda wa😵VER

Hata we nadhani ungetamani kua na cv yenye tabora girls ama kilakara bt mafuta yalikata So unaumia
 
Mkuu kabla ya kujibu maswali yako labda naomba tuwekane sawa kwenye msamiati huu wa "Vipaji Maalumu" au "Vipaji Maalumu Kiakili".

Elimu ya sekondari ya Tanzania kwa nyakati nilizokuwa nasoma ilikuwa na shule za aina nne zenye kutoa mafunzo ya elimu hiyo.

1. Shule za Vipaji Maalumu
2. Shule za Mafunzo ya Ufundi
3. Shule za Bweni zisizo na Umaalumu au Mafunzo ya Ufundi
4. Shule za Kutwa

Namna ya kudahiliwa au kujiunga na shule hizi ilitegemea na viwango vya ufaulu wa wanafunzi, iwe kutoka elimu ya msingi kwenda sekondari au kutoka "ordinary level" kwenda "advanced level".

Binafsi nimefanikiwa kusoma kwa miaka sita katika shule hizi za vipaji maalumu, na wakati ule namaliza darasa la saba tulikuwa tunatahiniwa masomo matatu tu nayo ni Hisabati, Maarifa na Lugha ambapo kila somo lilikuwa linapewa alama hamsini.
Ili uweze kujiunga na shule za vipaji ilikuwa unatakiwa upate jumla ya alama kati ya 145 hadi 150.

Kwa baadhi ya mikoa ambayo viwango vya elimu ya msingi vilikuwa duni, wanafunzi kutoka mikoa hiyo walipunguziwa alama kiasi wenye ufaulu wa alama 138 waliweza kupata nafasi pia.

Kwa wale waliotakiwa kujiunga na shule za ufundi ufaulu wa somo la Hisabati ulizingatiwa zaidi, wanafunzi wa shule hizo wengi wao walikuwa na uwezo mkubwa sana wa kukokotoa hisabati.

Kwenye hili nami nilibahatika kusoma O level Technical School, kimsingi wakati ule watu walikuwa wanasoma bhana. Samahani kama nitakwaza watu hapa ila ukweli kabisa enzi zile miaka ya tisini hawa woote tunaowaona leo.wamefaulu shule zetu hizi za kata kwa wakati ule wangekuwa WAMEFAIL Mtihani, ila kwa sasa kwa kuwa tunacheza na Quantity badala ya Quality elimu inazidi kushuka. Jambo pekee tunaloweza kujisifu kwa sasa ni wigo wa watu wanaojua kusoma na kuandika tu. Hivyo kwa wakati ule shule za vipaji maalumu kweli ilikuwa maalumu hasa. Kwa sasa zimedorora. Uzuri ni kwamba hawa hawa walioshika nafasi za mwanzo kwenye hizo shule za Private mukikutana huko chuo kikuu kwa kuwa kule hamna kulishwa sana wengi wanakuwa wazuri lakini bado watakutana na changamoto za watu ambao hawakushika nafasi za juu sana si kwa sababu hawana uwezo, bali mazingira ya shule walizotoka, na hivyo wanapofika Elimu ya Juu ambayo ufundishwaji wake uko tofati na kule chini basi unakuta matokeo yanabadilika kabisa. Japo wakati ule hizi shule za Private hazikuwa nyingi ila zilikuwepo na bahati ni kuwa huku juu tukakutana na wanafunzi mchanganyiko. Aisee asikudanganye mtu, mwanafunzi wa Kayumba akipata DivII kwa mfano huyo ni mkali sana kuliko yule aliyelishwa wa st..!
 
Wale ni shule ambazo zilibahatika kuwapata wasomaji na kukesha na wazee wa kuklemu wa wa shule za msingi so haimanishi ni bright kiivyo ndio maana kuna mazezeta tulioenda jangwani na zanaki na shule zingine tunakula maisha kushinda wa😵VER

Kama mtu anaweza kukremu masomo 10 na yote anaweka misonge kwenye mtihani wa Taifa kwa nini usimkubali tu?

Wewe mbona ulishindwa kufanya hivyo kama unadhani kukremu ni kitu kirahisi tu?
 
Sasa ww jamaa watu8 nasikia ni Dokta, na mida mwingi uko humu unatibu sa ngapi? Na u-kipaji maalumu hivi huwa ni class tu mbona humu Jf na mitaani no clear line kutenganisha l & t?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom