Shule za VIPAJI maalum: Nini dhumuni lake hasa?

Sasa ww jamaa watu8 nasikia ni Dokta, na mida mwingi uko humu unatibu sa ngapi? Na u-kipaji maalumu hivi huwa ni class tu mbona humu Jf na mitaani no clear line kutenganisha l & t?

hata Bonta wa River Camp ni Doctor.,,lakini ana muda wa kuandika mashairi na kwenda studio achilia mbali kupiga show..ni kipaji maalum pia,,multi-talents,, so is watu8 ,,kila uzi lazima atupie.
 
Last edited by a moderator:
Kama vipaji gani?
Na,je!
Lengo hilo linatekelezwa?

Tembelea shule moja wapo, jaribu kupiga story na denti yeyote wa hapo ni rahisi tu ikiwezekana ongea pia na ticha wa taaluma mbona majibu yote utapata. Utaambiwa namna wanavyoandaliwa kulingana na uwezo wao walionao
 
Kama vipaji gani?
Na,je!
Lengo hilo linatekelezwa?

mkubwa usitake kuifubaza akili na kujifanya huelewi. Vipaji maalumu hapa haimaanishi sth to do with hands,performing.
Inamaanisha 'vichwa','vipanga- intelligents'
 
Tembelea shule moja wapo, jaribu kupiga story na denti yeyote wa hapo ni rahisi tu ikiwezekana ongea pia na ticha wa taaluma mbona majibu yote utapata. Utaambiwa namna wanavyoandaliwa kulingana na uwezo wao walionao

Sio kutembelea tu,nimesoma huko kwa miaka 6 Jile79
 
Last edited by a moderator:
mkubwa usitake kuifubaza akili na kujifanya huelewi. Vipaji maalumu hapa haimaanishi sth to do with hands,performing.
Inamaanisha 'vichwa','vipanga- intelligents'

Doh!!
Kwa hyo data,unafikiri lengo takikana linafanikiwa?
 
Last edited by a moderator:
Tupe tathimini yako basi. Angalau tuwe na mwanga kutokana na uhalisia wa ulichokiona na kukiishi huko ilboro

Si Ilboru,ni Mzumbe na Kibaha.
Maisha yangu huko ndio yaliyo nifanya nilete mada hii.
Kabla sijatoa tathmini yangu,naomba unijibu basi maswali ya kwenye mada Jile79
 
Last edited by a moderator:
Si Ilboru,ni Mzumbe na Kibaha.
Maisha yangu huko ndio yaliyo nifanya nilete mada hii.
Kabla sijatoa tathmini yangu,naomba unijibu basi maswali ya kwenye mada Jile79

Mi sijui kitu. Nilidhani ww ungeweza kutupa angalau mwanga kidogo tupate pa kuanzia. Sasa mm sijafanya research ntakwambia nn km sio uongo?
 
Sasa ww jamaa watu8 nasikia ni Dokta, na mida mwingi uko humu unatibu sa ngapi? Na u-kipaji maalumu hivi huwa ni class tu mbona humu Jf na mitaani no clear line kutenganisha l & t?

Wewe umejuaje kuwa muda wote nashinda humu?

Una uhakika gani kuwa ID ya watu8 inatumiwa na mtu mmoja tu?
 

Wapo kaka,kuna madogo nilipata wasikia kwenye Mahafali ya kidato cha Sita Ilboru sek.

Walichukua tuzo ya ubunifu katika uhifadhi wa Mazingira na shindano lilikuwa la Wanafunzi wanaosoma Sayansi tu.
 
lengo takikana hilo unalojua wewe ni lipi?
Nifahamishe.

Huwezi kuanzisha shule zinazo kusanya watoto walio perform vema la saba au fm 1V,ukawaweka pamoja bila kuwa na lengo maalum!
Nadhani hawa walikuwa waandaliwe kuwa watu "maalum" katika nchi yetu kwa sekta mbalimbali!
Sasa,swali ni,unadhani lengo takikana linafikiwa?
 
Matokeo ya mwaka huu 2014 yanasemaje kwa shule za vipaji maalum!!!??? Kwa taarifa ni kwamba wale wanafunzi wanaofanya vizuri sana wanasoma shule za private!!!! Shule za vipaji maalum wanakwenda wale wanafunzi wa ufaulu wa kawaida sana. Mitihani ya kujiunga shule kama Marian, St. Francis, Canossa, Feza Boys and Girls, Rosmin, Abbey, Precious Blood na shule zote top 20 inafanyika mara baada ya mitihani ya darasa la saba. Shule zote hadi top 50 wanachagua wale wanafunzi cream kabisa!!! Na kama mwanao hana za kuchaki sana usihangaike kumpeleka kufanya interview shula kali maan autamkatisha tama sana maana unakuta anafanya shule ya 1 hadi ya 10 hapati!!!! Kwa hiyo shule hizi interview zao ni mweze Augost hadi October. Interview za November hadi Januari ni za shule zile nyinginezo za private!!!! Na kwa mantiki hii wale watoto wanao pass shule bora wengi wao wanatoka shule za private na ambao ndiyo wanaofundishwa hasa na interview nyingi wanaweza. Kumbuka hawa hawa wanafaulu darasa la saba ila sasa hawaendi hizo shule mnazosema ni za vipaji maalum!!!! waalimu wao wameshachoka na mfumo, hawafundishi sana!!!! Sasa unategemea Kilakala, Ilboru, Kibaha, Tabora etc wazikamate zile Top twenty??? Si rahisi sana.
 
Hahah ile niliiweka kufurahisha genge tu, ndio sio siri marehemu Mwl Wibonele wa Mzumbe wakati huo alikuwa mzuri sana wa Fizikia kwa namna nilivyokuwa nikimsikia, Mr Mgina wa Kibaha naye kwa Fizikia alikuwa mzuri, kuna Mwl mmoja wa practicals za Chemistry A Level nakumbuka tu aka yake ya Abacha, kuna kina Mr&Mrs Mkwizu, Mr Tara, Mr Kiringo, Mr Mushi (Ilboru) na wengine wengi tu kuwataja hapatoshi hapa.

Hahaa we utakua Ilborian.
Kati ya uliowataja; kwangu Kiringo ndio anaweza kua special. Tara! oh my goodness!
 

lengo linafanikiwa kwasababu bado wanaendelea nolewa kutokana na uwezo wao..specialization wataifanya huko mbele.. Na hata ukichek matokeo ya MZUMBE,ILBORU,KIBAHA,MSALATO,KILAKALA., bado unagundua kuna vipaji na matokeo yao yapo poa sana licha ya serikali kuzisusa na matatizo kibao ya resources.
Huwezi ilinganisha ONE ya KIBAHA na ya MARIAN... YA KIBAHA LAZIMA IWE JUU,, HAWA MA MARIAN NI SPOON FED.,,sitaki fika kwenye wizi wa majibu huku ma SAINTS.
THEREFORE. VIPAJI VIPO NA VITAENDELEA WEPO SHULE TAJWA HAPO JUU.
 

no thank you, ubunifu upo kwenye marks hata kama hawakuiba mtihani? walishachemsha. hakuna cha ubunifu wala cha kipaji maalumu, just a class of making one proud but no potential.
 
Wapo kaka,kuna madogo nilipata wasikia kwenye Mahafali ya kidato cha Sita Ilboru sek.

Walichukua tuzo ya ubunifu katika uhifadhi wa Mazingira na shindano lilikuwa la Wanafunzi wanaosoma Sayansi tu.

Exactly --!!!!
 

Nilisoma one of these schools. Walimu walikua hawafundishi deeply kwa kigezo eti nyie ni vipaji maalum. Nakumbuka topic za hesabu za differentiation na integration zilifundishwa kwa wiki mbili tu zote kwa pamoja, na tukiuliza wenzetu marian walifundishwa kwa mwezi na nusu. ni jitihada binafsi za wanafunzi katika shule hizi, ila haina maana they are too special.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…