Shule za wanaume/wanawake pekee. Lengo ni nini?? Does anybody know??

Shule za wanaume/wanawake pekee. Lengo ni nini?? Does anybody know??

Wanawake wasumbufu sana nafikiri ni kuondoa hiyo hali.Pia kuna jamaa alikuwa anasema shule hususani za wanafunzi wa kiume tupu,ufaulu wake huwa juu sana karibu dunia nzima sina uhakika kwa hili kulinganisha na mchanganyiko .
 
Back
Top Bottom