Shule za wanaume/wanawake pekee. Lengo ni nini?? Does anybody know??

Shule za wanaume/wanawake pekee. Lengo ni nini?? Does anybody know??

Single huongeza umakini kwenye masomo lakini hupunguza namna ya kuchangamana na jinsi nyingine once unapomaliza na kumbuka balehe hukukuta ukiwa shule, pia madhara huleta michezo mibaya kama kujichua
 
Back
Top Bottom