Kwa uwelewa wangu mm GCSE Inatumika uengeraza ambayo inafanana na o level kwa huku kwetu na hiyo IGCSE ni international version ya GCSE Inatumika sana Singapore inaendana pia na india. Na pia mwanafunzi akitoka IGCSE inatakiwa ajiunge na GCE ambayo ni sawa A level huku kwetu hapo ndipo atakuwa na sifa za kuingia vyuo vya uk. Na hiyo IB ni equivalent to IGCSE/GCSE + GCE. Kwa hivyo mm nakushauri mpeleke IB