Shule zinazofundisha mitaala ya kimataifa (International Schools in Tanzania)

ruhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
4,368
Reaction score
6,661
Habari za majukumu ndugu wanajamiiforums,

Naomba kuuliza kwa mwenye ufahamu kuhusu utofauti wa IB na IGCSEs na GCSEs zinazotolewa na Shule zinafundisha mitaala za kimataifa hapa nchini.

Na kipi ni kizuri zaidi kwani nataka nimpeleke mtoto kwenye hizo.

Mfano.
Nimena Iringa International school wao wanayo IB na Isamilo International wao wanatoa IGCSEs.

Naomba kuwasilisha.
 
Kwa uwelewa wangu mm GCSE Inatumika uengeraza ambayo inafanana na o level kwa huku kwetu na hiyo IGCSE ni international version ya GCSE Inatumika sana Singapore inaendana pia na india. Na pia mwanafunzi akitoka IGCSE inatakiwa ajiunge na GCE ambayo ni sawa A level huku kwetu hapo ndipo atakuwa na sifa za kuingia vyuo vya uk. Na hiyo IB ni equivalent to IGCSE/GCSE + GCE. Kwa hivyo mm nakushauri mpeleke IB
 
Asante sana kwa ushauri huo...wadau wengine hoja bado ipo mezani kwa ushauri na ufafanuzi zaidi.

Back
Top Bottom