GE2025 Shule zote za Serikali Morogoro Mjini zimefungwa muda huu, Walimu na Wanafunzi watakiwa kuhudhuria kampeni za CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Ponjoro wa Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
3,771
Reaction score
10,311
Walimu wote wa shule za serikali wametakiwa kufika bila kukosa kwenye kampeni za mgombea wa CCM leo na kila mkuu wa shule ametakiwa kuchukua ripoti ya walimu watakao hudhuria.

Aidha wanafunzi wa shule za sekondari wanapaswa kurudi nyumbani kubadili nguo na kwenda kwenye kampeni za CCM.

HONGERA SANA DR. SAMIA SULUHU HASSAN. WEWE NI GENIOUS KULIKO LIPUMBA NA SALUM MWALIMU. UTASHINDA KWA KISHINDO.

#MIFUMO_INASOMANA
 
Kichaa kapewa rungu hadi watoto wanapokonywa haki yao ya kupata elimu. Walimu wangu nao wanapewa majukumu yasiyo yao tena bila malipo.

Hatuna mfumo wala sheria nzuri. Fisiemu ni mchwa ndani ya nyumba-wanatafuna pesa za umma, wanaharibu kila kitu hadi elimu.
 
Screenshot_20250829-090807~2.png
 
Write your reply...daa kama uongo na uzushi basi nyie jamaa mmekubuhu hizo shule leo zinafunga nchi nzima likizo fupi na hapa moro mjini kata ya kihonda wanafunzi bado wapo shule sasa sijui hizo shule unazo sema zimefungwa kabla ya wakati
 
Huna haja ya kushindana na watu bila sababu kwani mkienda mnapungukiwa nini na akiandika mahudhurio Kisha ukaenda kwenye shughuli zako nani atahoji walimu jiendeeni tuu
 
Walimu wote wa shule za serikali wametakiwa kufika bila kukosa kwenye kampeni za mgombea wa CCM leo na kila mkuu wa shule ametakiwa kuchukua ripoti ya walimu watakao hudhuria.

Aidha wanafunzi wa shule za sekondari wanapaswa kurudi nyumbani kubadili nguo na kwenda kwenye kampeni za CCM.

HONGERA SANA DR. SAMIA SULUHU HASSAN. WEWE NI GENIOUS KULIKO LIPUMBA NA SALUM MWALIMU. UTASHINDA KWA KISHINDO.

#MIFUMO_INASOMANA
Acha uongo kenge wewe. Nitajie moja ya shule iliyofungwa.
 
ulishawahi kujiuliza ni nini islam hauruhusiwi china? there you have it, badala ya kuacha watoto wasome, wanafunga shule, nina uhakika kwa 100% kwenye hiyo shule hakuna hata mtoto wao mmoja anayesoma hapo na kuathirika, au jiulize je, wanaweza kufunga feza kwa sababu ya mkutano wa kisiasa ?

china hawawaruhusu kwa sababu wanataka kuendelea ...
 
Write your reply...daa kama uongo na uzushi basi nyie jamaa mmekubuhu hizo shule leo zinafunga nchi nzima likizo fupi na hapa moro mjini kata ya kihonda wanafunzi bado wapo shule sasa sijui hizo shule unazo sema zimefungwa kabla ya wakati
Muongo kenge huyu. Shule zote wanafunzi wapo mashulen. Labda shule za mizimu yao
 
Watoto lazima wahudhurie mikutano ya wakuu wa nchi.
Wajue dira ya Taifa lao.
Issue ya siku moja tu hii.
Msipanic.
Vichwa vyenyewe vya watu weusi haijawahi kufanya innovation yoyote ikaleta effects kimataifa.
 
Write your reply...daa kama uongo na uzushi basi nyie jamaa mmekubuhu hizo shule leo zinafunga nchi nzima likizo fupi na hapa moro mjini kata ya kihonda wanafunzi bado wapo shule sasa sijui hizo shule unazo sema zimefungwa kabla ya wakati
Acha uongo .
 
Walimu wote wa shule za serikali wametakiwa kufika bila kukosa kwenye kampeni za mgombea wa CCM leo na kila mkuu wa shule ametakiwa kuchukua ripoti ya walimu watakao hudhuria.

Aidha wanafunzi wa shule za sekondari wanapaswa kurudi nyumbani kubadili nguo na kwenda kwenye kampeni za CCM.

HONGERA SANA DR. SAMIA SULUHU HASSAN. WEWE NI GENIOUS KULIKO LIPUMBA NA SALUM MWALIMU. UTASHINDA KWA KISHINDO.

#MIFUMO_INASOMANA
Mambo ya mifumo kama mifumo
 
Huu ni mwendo wa kuelekea mchi ya ahadi, nchi ili neemeka kwa asali na maziwa...teh😜
 
Back
Top Bottom