GE2025 Shule zote za Serikali Morogoro Mjini zimefungwa muda huu, Walimu na Wanafunzi watakiwa kuhudhuria kampeni za CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Walimu wote wa shule za serikali wametakiwa kufika bila kukosa kwenye kampeni za mgombea wa CCM leo na kila mkuu wa shule ametakiwa kuchukua ripoti ya walimu watakao hudhuria.

Aidha wanafunzi wa shule za sekondari wanapaswa kurudi nyumbani kubadili nguo na kwenda kwenye kampeni za CCM.

HONGERA SANA DR. SAMIA SULUHU HASSAN. WEWE NI GENIOUS KULIKO LIPUMBA NA SALUM MWALIMU. UTASHINDA KWA KISHINDO.

#MIFUMO_INASOMANA
Nenda kwenye Kampeni acha porojo.

Siku nikipata hiyo nafasi nitaitumia vizuri Sana.
 
Ndo maisha ya wanafunzi yatakavyokuwa kwa mwezi mzima. Kwamba masomo ya wanafunzi yanavurugwa na kampeni za CCM. Samia anatafuta umati wa kuhutubia.
 
Waalimu waka sikilize mtu anae soma hotuba si bora wa toe copy kama vipeperushi wajisomee
 
Chawa wa chadema wanatapatapa,🤣🤣 wanafunzi wanafunga likizo fupi, wazee wa no reform no election tulizeni wenge.
 
Walimu wote wa shule za serikali wametakiwa kufika bila kukosa kwenye kampeni za mgombea wa CCM leo na kila mkuu wa shule ametakiwa kuchukua ripoti ya walimu watakao hudhuria.

Aidha wanafunzi wa shule za sekondari wanapaswa kurudi nyumbani kubadili nguo na kwenda kwenye kampeni za CCM.

HONGERA SANA DR. SAMIA SULUHU HASSAN. WEWE NI GENIOUS KULIKO LIPUMBA NA SALUM MWALIMU. UTASHINDA KWA KISHINDO.

#MIFUMO_INASOMANA
Walimu wasikonde wala kupata wahka.Watazawadiwa nafasi za kusimamia uchaguzi wa Oktoba 29 /2025.Watapewa pekeji nzuri isiyozidi Tsh.Laki moja na nusu(150,000/=) wapooze machungu ya madeni kwenye vicoba.
 
Kichaa kapewa rungu hadi watoto wanapokonywa haki yao ya kupata elimu. Walimu wangu nao wanapewa majukumu yasiyo yao tena bila malipo.

Hatuna mfumo wala sheria nzuri. Fisiemu ni mchwa ndani ya nyumba-wanatafuna pesa za umma, wanaharibu kila kitu hadi elimu.
Jana hapo kariakoo shughuli zilisiamishwa machinga wote WALISWAGWA kwa lazima kwenda kawe. Magari yalikuwepo hawakuruhusiwa kufanya biashara.
Hiki ni chama kinachokubalika huku kikiwa na cables za kuchakachua matokeo
 
Walimu wote wa shule za serikali wametakiwa kufika bila kukosa kwenye kampeni za mgombea wa CCM leo na kila mkuu wa shule ametakiwa kuchukua ripoti ya walimu watakao hudhuria.

Aidha wanafunzi wa shule za sekondari wanapaswa kurudi nyumbani kubadili nguo na kwenda kwenye kampeni za CCM.

HONGERA SANA DR. SAMIA SULUHU HASSAN. WEWE NI GENIOUS KULIKO LIPUMBA NA SALUM MWALIMU. UTASHINDA KWA KISHINDO.

#MIFUMO_INASOMANA
Uongo na uzushi hautawafikisha popote ktk siasa,badilikeni yasiyowahusu achaneni nayo
 
Walimu wote wa shule za serikali wametakiwa kufika bila kukosa kwenye kampeni za mgombea wa CCM leo na kila mkuu wa shule ametakiwa kuchukua ripoti ya walimu watakao hudhuria.

Aidha wanafunzi wa shule za sekondari wanapaswa kurudi nyumbani kubadili nguo na kwenda kwenye kampeni za CCM.

HONGERA SANA DR. SAMIA SULUHU HASSAN. WEWE NI GENIOUS KULIKO LIPUMBA NA SALUM MWALIMU. UTASHINDA KWA KISHINDO.

#MIFUMO_INASOMANA
CCM ni hovyo sn
 
upinzani siyo kupinga kila kitu, kwani shule si huwa zinafunga kipindi hiki likizo fupi? nyie tayari mshaunganisha na kampeni eti wanafunzi wameambiwa wabadili nguo waende kwenye kampeni

na sisi tukiunganisha nida na INEC mnatoa milio
 
Back
Top Bottom