Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
CCM HOYEEEEWaalimu si ni Watumishi wa Umma na hawapaswi kuwa na itikadi ya chama chochote na Wanafunzi wanaacha masomo wanaenda kufanya nini🤣🤣
Nipo siti ya mbele kabisa namsubiri ajeJambo la kawaida sana kwa nchi yetu. Bado mkoa wako wewe ponjoro utafunga kijiwe chako cha kahawa ukahudhurie mkutano wa CCM
- Nukuu Muhimu hii.Aidha wanafunzi wa shule za sekondari wanapaswa kurudi nyumbani kubadili nguo na kwenda kwenye kampeni za CCM.
Acha uongo kenge wewe. Nitajie moja ya shule iliyofungwa.Walimu wote wa shule za serikali wametakiwa kufika bila kukosa kwenye kampeni za mgombea wa CCM leo na kila mkuu wa shule ametakiwa kuchukua ripoti ya walimu watakao hudhuria.
Aidha wanafunzi wa shule za sekondari wanapaswa kurudi nyumbani kubadili nguo na kwenda kwenye kampeni za CCM.
HONGERA SANA DR. SAMIA SULUHU HASSAN. WEWE NI GENIOUS KULIKO LIPUMBA NA SALUM MWALIMU. UTASHINDA KWA KISHINDO.
#MIFUMO_INASOMANA
Muongo kenge huyu. Shule zote wanafunzi wapo mashulen. Labda shule za mizimu yaoWrite your reply...daa kama uongo na uzushi basi nyie jamaa mmekubuhu hizo shule leo zinafunga nchi nzima likizo fupi na hapa moro mjini kata ya kihonda wanafunzi bado wapo shule sasa sijui hizo shule unazo sema zimefungwa kabla ya wakati
Acha uongo .Write your reply...daa kama uongo na uzushi basi nyie jamaa mmekubuhu hizo shule leo zinafunga nchi nzima likizo fupi na hapa moro mjini kata ya kihonda wanafunzi bado wapo shule sasa sijui hizo shule unazo sema zimefungwa kabla ya wakati
Mambo ya mifumo kama mifumoWalimu wote wa shule za serikali wametakiwa kufika bila kukosa kwenye kampeni za mgombea wa CCM leo na kila mkuu wa shule ametakiwa kuchukua ripoti ya walimu watakao hudhuria.
Aidha wanafunzi wa shule za sekondari wanapaswa kurudi nyumbani kubadili nguo na kwenda kwenye kampeni za CCM.
HONGERA SANA DR. SAMIA SULUHU HASSAN. WEWE NI GENIOUS KULIKO LIPUMBA NA SALUM MWALIMU. UTASHINDA KWA KISHINDO.
#MIFUMO_INASOMANA
Nani hawa?