GE2025 Shule zote za Serikali Morogoro Mjini zimefungwa muda huu, Walimu na Wanafunzi watakiwa kuhudhuria kampeni za CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nenda kwenye Kampeni acha porojo.

Siku nikipata hiyo nafasi nitaitumia vizuri Sana.
 
Ndo maisha ya wanafunzi yatakavyokuwa kwa mwezi mzima. Kwamba masomo ya wanafunzi yanavurugwa na kampeni za CCM. Samia anatafuta umati wa kuhutubia.
 
Waalimu waka sikilize mtu anae soma hotuba si bora wa toe copy kama vipeperushi wajisomee
 
Chawa wa chadema wanatapatapa,🤣🤣 wanafunzi wanafunga likizo fupi, wazee wa no reform no election tulizeni wenge.
 
Walimu wasikonde wala kupata wahka.Watazawadiwa nafasi za kusimamia uchaguzi wa Oktoba 29 /2025.Watapewa pekeji nzuri isiyozidi Tsh.Laki moja na nusu(150,000/=) wapooze machungu ya madeni kwenye vicoba.
 
Jana hapo kariakoo shughuli zilisiamishwa machinga wote WALISWAGWA kwa lazima kwenda kawe. Magari yalikuwepo hawakuruhusiwa kufanya biashara.
Hiki ni chama kinachokubalika huku kikiwa na cables za kuchakachua matokeo
 
Uongo na uzushi hautawafikisha popote ktk siasa,badilikeni yasiyowahusu achaneni nayo
 
CCM ni hovyo sn
 
upinzani siyo kupinga kila kitu, kwani shule si huwa zinafunga kipindi hiki likizo fupi? nyie tayari mshaunganisha na kampeni eti wanafunzi wameambiwa wabadili nguo waende kwenye kampeni

na sisi tukiunganisha nida na INEC mnatoa milio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…