Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Katibu mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Dkt Idrissa Muslim anawatangazia Walimu, Wanafunzi na Wananchi kua, Wizara itazifunga Shule zote za Zanzibar kuanzia tarehe 24/10/2020 na kufunguliwa tarehe 2/11/2020 kwa ajili ya kupisha Uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 28 mwaka huu.
Wizara inawaomba Wazazi na Walezi kuwasimamia watoto wao kubaki nyumbani na kuendelea kudurusu masomo yao kwa kipindi chote hicho.
Chanzo: Zanzibar24.com
Wizara inawaomba Wazazi na Walezi kuwasimamia watoto wao kubaki nyumbani na kuendelea kudurusu masomo yao kwa kipindi chote hicho.
Chanzo: Zanzibar24.com