Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Inategemea na matokeo, vinginevyo muda wa kufunga shule utaongezeka tuu.24 na 25 Oct ni weekend hakuna school
Watakosa 26.
27 wanapiga kura waangalizi
28 ndio siku yenyewe
29 na 30 kuhesabu
31 na 1 Oct ni weekend sasa shida iwapi?