Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Teh teh tehMbinu ikitiki uje namie nkupe namba unambie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh tehMbinu ikitiki uje namie nkupe namba unambie
Amalizie na mtama aka ngwara......🤣🤣🤣kwanini asimvizie ampige roba ya mapenzi 😂
Yes yupo romantic ila hakawii kufoka😂😂😂Jeuri kwamba hayuko romantic ama anakufokea?
KudadadadekiiiiJichanganye upigwe na kitu kizito.
BasssMpe pesa
Tafuta hela.Wadau sikukuu ndo inazidi kuchangamka nipo maeneo ya kujidai halafu Kuna Dem ana jeuri kishenz,,,,jeuri zake ndio zmefanya niandike Uzi huu waungwana madem kama hawa wanakamatika je?
Pesa,,,,kwajeur zake hatoruka?Basss
Pesa ipo ila sio kivileTafuta hela.
kwishaaaa, hizo habari za kupotezeana muda zime kwishaAmalizie na mtama aka ngwara......🤣🤣🤣
Pesa ni kiboko ya jeuri, kiburi, dharau na mengineyo....kama na wewe hauna pesa sasa hapo ni kasheshe kwakweli atakutia makwenzi usipokaa vizuri.Pesa,,,,kwajeur zake hatoruka?
Punguza shobo naye, muwekee mazingira ajione wa kawaida.Nipe tips mana Dem mkaliiiiiiiii halafu ni jeuri
Kama ni mzuri basi leo ni sikukuu soko lake kubwa. Mfuate msalimie muombe namba then mtafute siku nyingine akikataa achana naeKudadadadekiiii
Mmmh mbona we kule hukutia ngwara ulijibebisha 😹kwishaaaa, hizo habari za kupotezeana muda zime kwisha
Kuna tips nmeinyakaPunguza shobo naye, muwekee mazingira ajione wa kawaida.
Kadri unavyozidi kumpapatikia ndivyo kadri unavyozidi kumkosa.
bahariaUnajuana nae? Au ndio umemuona tu mshipa ukasimama??
Salaam, ikifatiwa na siku yako ilikuaje....mwambie yako pia ni super fine, "naomba kukununulia kinywaji ila sina cash hela ipo kwa simu naomba namba ya kutuma kama hautajali" akikupa namba tuma pesa kisa nyamaza.....nyamaza bro😹
Mbinu ikitiki uje namie nkupe namba unambie ahsante.
Akikataa achana nae bana wanawake ni wengi asikupande kichwani😹
Unadhani kilichomleta hapo ni nini....sikuzote najua mwanamke anayejihudumia bar hawezi jionyeshaonyesha mpaka ajulikane tabia kirahisi ivoPesa,,,,kwajeur zake hatoruka?
itakuwa ananata nata.Jeuri kwamba hayuko romantic ama anakufokea?
karibuKuna tips nmeinyaka
Mkuu humohumo na mm namtamani kinyama mana nimemezea mate ya akili mpaka naomba tips zingneitakuwa ananata nata.