holy holm
JF-Expert Member
- May 6, 2017
- 4,793
- 9,101
yule ni mtu mzima halafu kapanda hewani , sasa mimi na kamwili kangu, c ningecharazwa viboko.😂😂Mmmh mbona we kule hukutia ngwara ulijibebisha 😹
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yule ni mtu mzima halafu kapanda hewani , sasa mimi na kamwili kangu, c ningecharazwa viboko.😂😂Mmmh mbona we kule hukutia ngwara ulijibebisha 😹
Kama ndo ww ujue nmekumezea mate ya akilikidogo tu ushanianzishia uzi,,aya njoo kesho pale pale uliponiona leo tuongee vizur.
Hata hizo pesa si mpaka uwe unatoa sasa 😀Pesa ni kiboko ya jeuri, kiburi, dharau na mengineyo....kama na wewe hauna pesa sasa hapo ni kasheshe kwakweli atakutia makwenzi usipokaa vizuri.
mkimaliza uje kwangu nikutumieko ka hela ka saluni bby .kidogo tu ushanianzishia uzi,,aya njoo kesho pale pale uliponiona leo tuongee vizur.
Hii nayo changamotoHata hizo pesa si mpaka uwe unatoa sasa 😀
mwenzako nilkua na hasira tu,,baba mwenye nyumba kanitolea vtu nje pango kwishaaaKama ndo ww ujue nmekumezea mate ya akili
Hii code Haina maumivu?Mwambie muhudumu akamuulize huyo demu anatumia kinywaji gaji/chakula gani ... utalipia ww
au nianze kwakomkimaliza uje kwangu nikutumieko ka hela ka saluni bby .
Dahau nianze kwako
Marvelous!!Unajuana nae? Au ndio umemuona tu mshipa ukasimama??
Salaam, ikifatiwa na siku yako ilikuaje....mwambie yako pia ni super fine, "naomba kukununulia kinywaji ila sina cash hela ipo kwa simu naomba namba ya kutuma kama hautajali" akikupa namba tuma pesa kisha nyamaza.....nyamaza bro😹
Mbinu ikitiki uje namie nkupe namba unambie ahsante.
Akikataa achana nae bana wanawake ni wengi asikupande kichwani😹
Wanawake majeuri hawafai kabisa! Ni pasua vichwa.Demu mwenyewe ukute baamed, huo muda mnautoa wapi?
Mwanamke jeuri achana naye, maana mwisho wa siku lazima umpe hela!
sasa si nitarudi nawewe
chaguaau nianze kwako
Ila ni watam balaaaaWanawake majeuri hawafai kabisa! Ni pasua vichwa.
Ngoja niite mhudumu kwanzasasa si nitarudi nawewe
nakujachagua
usiongeze glass basi nakujaNgoja niite mhudumu kwanza
Mi dem wa kunipanda kichwani huwa hapana kabisa na desturi yangu ni kumchinjia baharini tu [emoji23]Unajuana nae? Au ndio umemuona tu mshipa ukasimama??
Salaam, ikifatiwa na siku yako ilikuaje....mwambie yako pia ni super fine, "naomba kukununulia kinywaji ila sina cash hela ipo kwa simu naomba namba ya kutuma kama hautajali" akikupa namba tuma pesa kisha nyamaza.....nyamaza bro[emoji81]
Mbinu ikitiki uje namie nkupe namba unambie ahsante.
Akikataa achana nae bana wanawake ni wengi asikupande kichwani[emoji81]
Muhudumu akawiii kashafika mezanusiongeze glass basi nakuja