Shunie l love you

Shunie l love you

Jamaa ninamvyojua kwa kugharamia rungu huyu! Anamaanisha kabisa,... Shunie nenda pm umsikilize japo kidogo.... Sisi tuache tu tupige story.. Yajengeni bhana.... Kijana mpole sana huyo... InshaaAllah
 
Jamaa ninamvyojua kwa kugharamia rungu huyu! Anamaanisha kabisa,... Shunie nenda pm umsikilize japo kidogo.... Sisi tuache tu tupige story.. Yajengeni bhana.... Kijana mpole sana huyo... InshaaAllah
 
In JF ukiamua kufanya yako au kufanye yenyu nyie fanyaneni tu...

mahondaw wangu... Humu watu wanajiona wao ndiyo perfect na kukosoa wenzao kwa kila jambo..

That's my me, when it come about you mahondaw wangu.. No matter whatever anyone will say i never care...

No one has the right to judge anyone with his/her actions...
True
 
Jamaa ninamvyojua kwa kugharamia rungu huyu! Anamaanisha kabisa,... Shunie nenda pm umsikilize japo kidogo.... Sisi tuache tu tupige story.. Yajengeni bhana.... Kijana mpole sana huyo... InshaaAllah
Asante kwa sapoti
 
Thanks alot Smart911 wangu sijui hata nisemeje yani...
You know vile unanifanya naishi kwa peace and love kiasi kwamba dahhhhhhhhhhh...
God bless you Smart911 wangu
Usijali mahondaw wangu... As long as am breathing i will make you the luckiest lady in the world... I will always make you happy... Because you deserve the best mahondaw wangu....
 
Unataka kuniambia Shunie original sura mbaya tena mweusii kama buti la mgambo au afande naniliu? Mtake radhi mkuu.
Hahah mi mwenyewe sijui, anaweza akawa mbaya kama usemavyo au ndo huyo huyo kwenye avatar.. Who knows??
 
Natumaini mwenyewe mrembo haswa zaidi ya hiyo avatar. Mwandiko wake tu unadhihirisha hivyo.
Duh yan mkuu unathaminisha urembo kwa mwandiko? Mi nadhani mwandiko wake unaweza kukusaidia kujua mambo yake mengine kama haiba na kadhalika
 
Duh yan mkuu unathaminisha urembo kwa mwandiko? Mi nadhani mwandiko wake unaweza kukusaidia kujua mambo yake mengine kama haiba na kadhalika
Mkuu watu wabaya wengi sio wote huwa wana roho mbaya. Na hiyo katika comment zao utaona mabaya yaliyowajaa rohoni. Wana hasira na kila mtu hasa wanayehisi ana mafanikio, sasa Shunie hayupo hivyo. Kudos to Shunie na warembo wengine wote wale kiroho safi wa JF.
 
Back
Top Bottom