Shunie na Sakayo.

Nakuunga mkono Cousin. Hawa watu wamejaariwa karma ya pekee sana. Hata mimi nawapenda sana hawa dada zangu

Mwenyezi Mungu aendelee kuwabariki katika maisha yao yote, hapa duniani.

Mwaka 2019, uwe mwaka wao wa mafanikio na baraka tele....
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ameen prisoner [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] tubarikiwe sote
 
Naunga mkono hoja hawa ni wanawake mashujaa kabisa wa mda wote humu JF
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…