Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
- Thread starter
- #141
Dushelele.[emoji23][emoji23][emoji23]Eti picha ya nn hiyo
Ni kidole kikubwa cha mguu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dushelele.[emoji23][emoji23][emoji23]Eti picha ya nn hiyo
Kabla hatujauanza mwaka mpya napenda tu niseme ya moyoni nyie ni miongoni mwa watu wa kipekee sana hapa Jf, mna mioyo mizuri sana,mnajali,na pia mnaujua ustaarabu na kuishi na watu vizuri.
Mwenyezi mungu awabariki,nawapenda sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amina MkuuNakuunga mkono Cousin. Hawa watu wamejaariwa karma ya pekee sana. Hata mimi nawapenda sana hawa dada zangu
Mwenyezi Mungu aendelee kuwabariki katika maisha yao yote hapa duniani.
2019 uwe wao kwa kheri tele....
Sent using Jamii Forums mobile app
Mh mbona sikuelewi na weweDushelele.[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kidole kikubwa cha mguu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ameen prisoner [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] tubarikiwe soteNakuunga mkono Cousin. Hawa watu wamejaariwa karma ya pekee sana. Hata mimi nawapenda sana hawa dada zangu
Mwenyezi Mungu aendelee kuwabariki katika maisha yao yote, hapa duniani.
Mwaka 2019, uwe mwaka wao wa mafanikio na baraka tele....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla hatujauanza mwaka mpya napenda tu niseme ya moyoni nyie ni miongoni mwa watu wa kipekee sana hapa Jf, mna mioyo mizuri sana,mnajali,na pia mnaujua ustaarabu na kuishi na watu vizuri.
Mwenyezi mungu awabariki,nawapenda sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani wengine tuna gundu naombeni kama nijinyongee[emoji21][emoji21][emoji21][emoji21][emoji21]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ameen prisoner [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] tubarikiwe sote
Tunamgonja kipenzi cha roho yangu Sakayo aje kutoa msaadaSitaki mm kurudi kuangalia tena
Kweli
Asante ba mkwe ubarikiweNaunga mkono hoja hawa ni wanawake mashujaa kabisa wa mda wote humu JF
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilijua sijui nn jamani
Shunie na Sakayo ni Marafiki wazuri sanaa!!!...Kabla hatujauanza mwaka mpya napenda tu niseme ya moyoni nyie ni miongoni mwa watu wa kipekee sana hapa Jf, mna mioyo mizuri sana,mnajali,na pia mnaujua ustaarabu na kuishi na watu vizuri.
Mwenyezi mungu awabariki,nawapenda sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitambo ShemHahahah amekuwa lini kipenzi cha roho yako
Hahhaha mangi hatujui bwana ebu tuambieShunie na Sakayo ni Marafiki wazuri sanaa!!!...
Wanajua kwann nasema hivyoo [emoji51][emoji51]!!
Sent using Jamii Forums mobile app
EiiishKitambo Shem
Hahahaaa kesho wasije wakaanza kujipenda tu
Hahahaha, asee si mchezoHapa shunie kaja na ID nyingine [emoji41][emoji41]