Shunie tangu nimpe ujauzito ananinyanyasa sasa, nataka nimletee mke wa pili

Shunie tangu nimpe ujauzito ananinyanyasa sasa, nataka nimletee mke wa pili

mfanye chochote unachojiskia
Basi..
Usijali, nipe dakika chache tu..ngoja nimpe onyo halafu niskilize majibu yake.
Usijibu quote ya mtu yoyote kwa muda wa hii nusu saa tu. Halafu nitakupa maelekezo
 
Wakuu huyu shemeji yenu Shunista au Shunie tangu nimvimbishe tumbo amekuwa akinikasirikia sana sasa nataka nimkomeshe nimletee mke wa pili

Haya sasa madada wa JF milango ipo wazi kwa anayetaka kuposwa na mimi ajitokeze

atoto
Miss chaga

Madame B
Valentina

Joanah

Me and I

Shushushu VIP
Kasinde
Na wengineo milango ipo wazi karibuni sana
Kon kon nko! Mwenye nyumba kaingia,
Kijana nikupe onyo na kukutaadharisha, pia nakuamuru ufute kauli yako. Ati umemtia nani mimba? Eeeeehh?

Sitaki yakukute yaliyomkuta Babu Seya kwa kuchezea mali za wakubwa, and this is my last warning.
 
Mwambieni huyo aache kunitesa [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]
Utateseka kweli hasa ukinaswa na hii vice.
25e16a144d7a3c572f21f4b8b22da93c.jpg
 
Yani Nimeshangaa sana Et Umepewa Mimba Kaaaaaahhhh

Kiukwer Nshakutana na viumbe kama Uyu Akijinad kuwa Anamvua Bikin Dada Angu Shunie Kitu Ambacho

Dada Angu Amekuwa akipinga vikali Na Kunisisitizia Kuwa Only 1 Fakalava

Hao Wengine Kula kwa macho Tuu

Afu Dada Ebu Jaribu Kuongea Na Shemeji Angu Fakalava Kuhusu Lile Swala La Ule mpango

Nw Nimefulia Dada angu Mwambie Anilekebishie Ktk Tgo Pesa plz Dada Angu Si Unajua Tupo Wawil Tuu

Nakupendaje [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji7]
Nikushukuru Ambiele Kiviele kwa kuniita ila huu mstari wa mwisho ufute [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Nilikuambia zamani, ukiona mtu anakuzingua au kukusumbua nijulishe mimi, niuzie kesi mimi halafu wewe kaa pembeni.
*unataka nikusaidie kitu gani kwa sasa, nipo karibu yako.
-mchagulie adhabu huyo HR666
Hey hey hey!! Weeeee... tulia, Kandarasi zote zinazohusiana na shuni natoa mimi ni marufuku kwenda moja kwa moja kwa shunie.
 
Basi..
Usijali, nipe dakika chache tu..ngoja nimpe onyo halafu niskilize majibu yake.
Usijibu quote ya mtu yoyote kwa muda wa hii nusu saa tu. Halafu nitakupa maelekezo
Report ulete kwangu.
 
Back
Top Bottom