Shunie tangu nimpe ujauzito ananinyanyasa sasa, nataka nimletee mke wa pili

Shunie tangu nimpe ujauzito ananinyanyasa sasa, nataka nimletee mke wa pili

Nasubili Povu La Watu Hapa Waanze Kutokwa Sasa

Mwenye Nacho Ashakuja

Afu Braza Fakalava Kuna Jambao Ntakueleza Ngoja Kwanza Nimalizie Kunyonya Ichi Kiroba changu

Ntakuja Kukwambia
Jambo gani tena, linamuhusu ma bebi?
 
Mke wa pili ukimleta yeye atataka anuse jasho lako la kwapa tu...utamkumbuka na shunie
 
Sijawahi kufanya nae halaf unataka niuzi ujue hivi uyo chizi ni wa kumdiscuss
Chizi[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26]

[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]
 
Hakuna Mahala Ambako Nimesema We ni Omy Dimpoz

Ebu Ngoja Kwanza Kwanin Umewaza Kuwa Wee Ni Omy Dimpoz.....??

Kuna Msemo Unaosema Aliwazo Mj.....

Ndio Litakalo Mtokea
Mkuu si wanasemaga Ommy jogoo wake hapandi mtungi kwa hiyo hata akiwa na demu anaishiaga kumuangalia tu

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom