aiseeeWewe unachoweza kulea ni mimba kwa sasa
mfanye chochote unachojiskiaNilikuambia zamani, ukiona mtu anakuzingua au kukusumbua nijulishe mimi, niuzie kesi mimi halafu wewe kaa pembeni.
*unataka nikusaidie kitu gani kwa sasa, nipo karibu yako.
-mchagulie adhabu huyo HR666
Basi..mfanye chochote unachojiskia
Dogo nakutumia PM unijibu kiustaarabu tafadhali[emoji120]Ana kiumbe changu huyo mkuu
Kon kon nko! Mwenye nyumba kaingia,Wakuu huyu shemeji yenu Shunista au Shunie tangu nimvimbishe tumbo amekuwa akinikasirikia sana sasa nataka nimkomeshe nimletee mke wa pili
Haya sasa madada wa JF milango ipo wazi kwa anayetaka kuposwa na mimi ajitokeze
atoto
Miss chaga
Madame B
Valentina
Joanah
Me and I
Shushushu VIP
Kasinde
Na wengineo milango ipo wazi karibuni sana
Duh!kuna watu mna mikwara mbuziKon kon nko! Mwenye nyumba kaingia,
Kijana nikupe onyo na kukutaadharisha, pia nakuamuru ufute kauli yako. Ati umemtia nani mimba? Eeeeehh?
Sitaki yakukute yaliyomkuta Babu Seya kwa kuchezea mali za wakubwa, and this is my last warning.
Utateseka kweli hasa ukinaswa na hii vice.Mwambieni huyo aache kunitesa [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]
Huyu dogo anakukosesha amani nafikiri kuna haja ya kumtafutia dawa chungu.hivi mnajua nishaanza mpuuza uyu atakua si mzima nimeuona huu uzi mda tu
Ndiyo maana nikashutuka.ww sio mzima halaf ujue unaniharibia baby wangu akiona hivi anajua kweli ebu achana na haya mambo
Hiyo kesi niachie mimi.[emoji382] [emoji382] [emoji379] [emoji379]nimeshaongea nae sana haelewi inabdi tu nimuache
Nikushukuru Ambiele Kiviele kwa kuniita ila huu mstari wa mwisho ufute [emoji12] [emoji12] [emoji12]Yani Nimeshangaa sana Et Umepewa Mimba Kaaaaaahhhh
Kiukwer Nshakutana na viumbe kama Uyu Akijinad kuwa Anamvua Bikin Dada Angu Shunie Kitu Ambacho
Dada Angu Amekuwa akipinga vikali Na Kunisisitizia Kuwa Only 1 Fakalava
Hao Wengine Kula kwa macho Tuu
Afu Dada Ebu Jaribu Kuongea Na Shemeji Angu Fakalava Kuhusu Lile Swala La Ule mpango
Nw Nimefulia Dada angu Mwambie Anilekebishie Ktk Tgo Pesa plz Dada Angu Si Unajua Tupo Wawil Tuu
Nakupendaje [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji7]
Hakuna Dhambi Ya Kumpenda Dada AnguNikushukuru Ambiele Kiviele kwa kuniita ila huu mstari wa mwisho ufute [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mdogo wangu unanijua vyema [emoji109] [emoji109] [emoji123] [emoji123]Basi Mololo
Mana Braza Ni Mkali Balaaa [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Ula anshelewa Kuwa Ni Uwongo
Najua Braza Akija Hapa Full Kuchat kwa Mahaba yenu Yale [emoji173]
Ambiele kaniita, nimefika sasa.mahabati uku naona uwa hafiki
Hey hey hey!! Weeeee... tulia, Kandarasi zote zinazohusiana na shuni natoa mimi ni marufuku kwenda moja kwa moja kwa shunie.Nilikuambia zamani, ukiona mtu anakuzingua au kukusumbua nijulishe mimi, niuzie kesi mimi halafu wewe kaa pembeni.
*unataka nikusaidie kitu gani kwa sasa, nipo karibu yako.
-mchagulie adhabu huyo HR666
Nasubili Povu La Watu Hapa Waanze Kutokwa SasaAmbiele kaniita, nimefika sasa.
Report ulete kwangu.Basi..
Usijali, nipe dakika chache tu..ngoja nimpe onyo halafu niskilize majibu yake.
Usijibu quote ya mtu yoyote kwa muda wa hii nusu saa tu. Halafu nitakupa maelekezo
Mdogo wangu unanijua vyema [emoji109] [emoji109] [emoji123] [emoji123]