Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Kama nimeona vile au macho yangu???Kapigwa ban[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hebu angalia nawewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama nimeona vile au macho yangu???Kapigwa ban[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Safi sana uamuzi mzuri[emoji109]Wakuu huyu shemeji yenu Shunista au Shunie tangu nimvimbishe tumbo amekuwa akinikasirikia sana sasa nataka nimkomeshe nimletee mke wa pili
Haya sasa madada wa JF milango ipo wazi kwa anayetaka kuposwa na mimi ajitokeze
atoto
Miss chaga
Madame B
Valentina
Joanah
Me and I
Shushushu VIP
Kasinde
Na wengineo milango ipo wazi karibuni sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwambieni huyo aache kunitesa [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]
Woyoooooo movie LA kihindi hiloooMama yoyo kwa nini unanipuuza tena eeeh barafu wa moyo wangu nimekukosea nini?
Cha kike au cha kiume?!Ana kiumbe changu huyo mkuu
Ni kweli na pole yake shunieKama nimeona vile au macho yangu???
Hebu angalia nawewe
Pole sana shemela waneni mm huyu huyu lkn alivyoandika havinihusu
Dogo kumbe umejichimbiaga huku..[emoji23][emoji23]Huyu dogo anakukosesha amani nafikiri kuna haja ya kumtafutia dawa chungu.
sio huyo dear aliesababisha
ilikua ban kweli dadaAkwendwee
Haya nawe umeanza uhuni au, hiyo avatar veepee
Yaan wwSafi sana uamuzi mzuri[emoji109]
santee AntonioNi kweli na pole yake shunie
Ni nani? Nahitaji majibu ya kina bila kupepesasio huyo dear aliesababisha
Okaysio huyo dear aliesababisha
hahahhh tumepewa ban wa3 sijui wa4 na love connect huko kwa yule dada anaetafuta mchumbaNi nani? Nahitaji majibu ya kina bila kupepesa
thank you dearOkay
Ila pole sana and welcome back mwaya
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] poleeehahahhh tumepewa ban wa3 sijui wa4 na love connect huko kwa yule dada anaetafuta mchumba
Watu walileta uzi wake wa nyuma jinsia yake haieleweki mara anataka mchumba wa kike jana kasema anataka mchumba wa kiume naona alienda kutusemea kwa mods
Mmmmhilikua ban kweli dada