Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Nimeona uzi unakuhusu hauonekaniAbeeeh
Sasa mkuu jaman ujue najiuliza tu hapa we umenipendea hiyo avatar fake au post zangu yaan nawaza tu hapa mana shunie og tofauti na kwa avatar mwenyewe mweusi kibongeShunie unajua mapenzi ni kama kikohozi huwezi jizuia ukilazimisha kuzuia kikohozi bila shaka unaelewa inavyokuwa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mwehu weweEmbu piga debe banah, mie mwenyewe namtaka huyo shemeji mpya ujue
Ahahahaaaaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mwehu wewe
Kama itakupendeza ukanikaribisha malangoni pako itakuwa faraja kwangu ili hayo mengine tuyabainishe hukoSasa mkuu jaman ujue najiuliza tu hapa we umenipendea hiyo avatar fake au post zangu yaan nawaza tu hapa mana shunie og tofauti na kwa avatar mwenyewe mweusi kibonge
Hahahahaa nimecheka kweli lolEmbu piga debe banah, mie mwenyewe namtaka huyo shemeji mpya ujue
Ney nipo naugulia mapigo ya moyo hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ahahahaaaaaa
Hivi huyu mtoa dukuduku amekimbilia wapi?
Khee [emoji15] [emoji134] jamaa ana kingekewa [emoji12] [emoji14] [emoji13]Embu piga debe banah, mie mwenyewe namtaka huyo shemeji mpya ujue
Sawa, jitahidi kula balance diet upate Wowowo[emoji2]Hapana
Mkuu zama PMKama itakupendeza ukanikaribisha malangoni pako itakuwa faraja kwangu ili hayo mengine tuyabainishe huko
Sasa basi usiwe unapotea namna hiyo tunakosa nguvu ya kukutetea kwa mlimbwende ujue,Ney nipo naugulia mapigo ya moyo hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ana shida huyu bint atakuwa anamtaka kweli [emoji13] [emoji13] [emoji13][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mwehu wewe
Embu muongezee ujasiri kidogo shemeji yetu mtarajiwaKhee [emoji15] [emoji134] jamaa ana kingekewa [emoji12] [emoji14] [emoji13]
Mtoa duku duku au mpiga debeAhahahaaaaaa
Hivi huyu mtoa dukuduku amekimbilia wapi?
Hakika kama vile nakuona ulivyo na kiu ya mimi kumpata mjoli huyu, Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu bila shaka na yeye ataelewa hilo.Sasa basi usiwe unapotea namna hiyo tunakosa nguvu ya kukutetea kwa mlimbwende ujue,
Embu jitahidi kumpa maneno yenye kuhamasisha kidogo tuone kama atapindua.
Wacha kuweka mikono nyuma embu simama kiume [emoji41]
Ewaaah namna hiyo mpaka kielewekeKama itakupendeza ukanikaribisha malangoni pako itakuwa faraja kwangu ili hayo mengine tuyabainishe huko
We bint una maneno nimemwambia azame PM asimwage mchele kwenye kuku wengi.Embu muongezee ujasiri kidogo shemeji yetu mtarajiwa
Kazi yenu ina thamani kubwa sana wakuuEmbu muongezee ujasiri kidogo shemeji yetu mtarajiwa