Shunie: The thread is special for you.

Shunie: The thread is special for you.

Sasa mkuu jaman ujue najiuliza tu hapa we umenipendea hiyo avatar fake au post zangu yaan nawaza tu hapa mana shunie og tofauti na kwa avatar mwenyewe mweusi kibonge
Kama itakupendeza ukanikaribisha malangoni pako itakuwa faraja kwangu ili hayo mengine tuyabainishe huko
 
Sasa basi usiwe unapotea namna hiyo tunakosa nguvu ya kukutetea kwa mlimbwende ujue,
Embu jitahidi kumpa maneno yenye kuhamasisha kidogo tuone kama atapindua.
Wacha kuweka mikono nyuma embu simama kiume [emoji41]
Hakika kama vile nakuona ulivyo na kiu ya mimi kumpata mjoli huyu, Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu bila shaka na yeye ataelewa hilo.

Cc: Shunie
 
Back
Top Bottom