Shunie: The thread is special for you.

Me mzima sana naona kijana wako anatafuta ajira msaidie mchukue shamba huko
Nashukuru kwa kuwa u mzima

Kazi ya shamba inahitaji mtu anae jua kujitoa sasa huyo anataka kazi ambayo itafanyika mjini

Hii kazi ya shamba huwa hatuonekani mjini hata nusu mwaka sasa kwa nilivyo mwelewa kijana hawezi kazi za shamba
 
Shida haijamshika aisee ikikushika unafanya chochote huwezi kuchagua cha kufanya nimemuonea huruma masikini mondray ningekuwa na uwezo ningemsaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…