GJHariohay
JF-Expert Member
- Oct 24, 2013
- 1,041
- 1,160
Kama kichwa cha habari ilivyoeleza, naomba nitunuku hili jamvi leo kwa mrembo ninaempenda sana humu Shunie. Namkubali sana, kila siku lazima nipitie comment yake humu, siawahi kuwasiliana nae PM wala sikumbuki kama nimewahi kuquote comment yake but hayo yote hayana maana kuwa hana thamani kwangu. Mrembo Shunie popote ulipo ujue una mtu anakupenda mno.