Nkungulume
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,987
- 1,209
Mama mie sina neno kwenye hili bonny asikimbie na mahari tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama mie sina neno kwenye hili bonny asikimbie na mahari tu.
Na wewe una WOWOWO ?Basi acha nikuache bon ila hata mimi nimekuwa interested sana na hilo wowowo
Mkuu Shinue tayari yuko hewani we sasa umepotea kulikoni ni jimama la nguvu kazi kwako [emoji12] [emoji14] [emoji13]Kama kichwa cha habari ilivyoeleza, naomba nitunuku hili jamvi leo kwa mrembo ninaempenda sana humu Shunie. Namkubali sana, kila siku lazima nipitie comment yake humu, siawahi kuwasiliana nae PM wala sikumbuki kama nimewahi kuquote comment yake but hayo yote hayana maana kuwa hana thamani kwangu. Mrembo Shunie popote ulipo ujue una mtu anakupenda mno.
Mkuu mbona umekuwa mpiga debe hivyo jamanMkuu Shinue tayari yuko hewani we sasa umepotea kulikoni ni jimama la nguvu kazi kwako [emoji12] [emoji14] [emoji13]
Nataka nipate shemejiMkuu mbona umekuwa mpiga debe hivyo jaman
HapanaNa wewe una WOWOWO ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu mbona umekuwa mpiga debe hivyo jaman
AhahahaaaaaaUkisoma thread yake ameongea kwa hisia kali na pendo zito
Nipo kazini mkuu ila kuna statement yake fulani hapo imenifanya nitafute ni wapi naweza kupata chakula cha haraka muda huuMkuu Shinue tayari yuko hewani we sasa umepotea kulikoni ni jimama la nguvu kazi kwako [emoji12] [emoji14] [emoji13]
Ameshachelewa jaman shemeji yupo mwenyewe namuonea hata hurumaNataka nipate shemeji
Uongo mkuu ila kweli nimekuwa mpiga debe ngoja nikae kimyaAhahahaaaaaa
Sanaaa mpaka huruma yaan ningekuwa single ningemtunuku tu mimiUkisoma thread yake ameongea kwa hisia kali na pendo zito
Chakula kipi hiko tenaNipo kazini mkuu ila kuna statement yake fulani hapo imenifanya nitafute ni wapi naweza kupata chakula cha haraka muda huu
Ewaaaaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hivyo hivyo na watumie ndugu zao walio vijijini
Embu piga debe banah, mie mwenyewe namtaka huyo shemeji mpya ujueUongo mkuu ila kweli nimekuwa mpiga debe ngoja nikae kimya
Hahahahaa hizi statement zako ndo zinafanya upendwe zaidi nafikiriSanaaa mpaka huruma yaan ningekuwa single ningemtunuku tu mimi
Shunie unajua mapenzi ni kama kikohozi huwezi jizuia ukilazimisha kuzuia kikohozi bila shaka unaelewa inavyokuwaChakula kipi hiko tena