GJHariohay
JF-Expert Member
- Oct 24, 2013
- 1,041
- 1,160
- Thread starter
- #421
Hahahaha me niliona mahali ameelezea matumizi ya Shanga vizuri sanaa mpk nikahamasikaNakumbuka Alisha wai Sema Yeye ni Mpenzi wa Shanga
Na Huvaa Kiuon Mbili Tuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha me niliona mahali ameelezea matumizi ya Shanga vizuri sanaa mpk nikahamasikaNakumbuka Alisha wai Sema Yeye ni Mpenzi wa Shanga
Na Huvaa Kiuon Mbili Tuuu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] usiniambie umemsahau alikuja usiku tena acha afanye fujo nakumbuka mpaka Lee niligombana naeHahaha
Kumbe ndo huyuuu
Hivi shemeji yenu kwa nani NeyHivi huyo Shem kapotelea wapi? Au umemtimua shemeji yetu?
Tayari mkuu japo hauridhishiMkuu umepata mrejesho hapa?
Kwahiyo hiko ndio kilichokufanya ukuje kuniandikia thread eenhHahahaha me niliona mahali ameelezea matumizi ya Shanga vizuri sanaa mpk nikahamasika
Mie hata sikumbuki chochoteHivi shemeji yenu kwa nani Ney
OkeyAhahhaha ananiambia nipokee hongera ina maana kubwa sana
Muulize mhusikaSijajua ni niniii hivi nitataka kitu na wakati sikijui ebu niambie basi ni ninii
Muoga huyooHivi huyo Shem kapotelea wapi? Au umemtimua shemeji yetu?
Mie hayo sikumbuki kabisaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] usiniambie umemsahau alikuja usiku tena acha afanye fujo nakumbuka mpaka Lee niligombana nae
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Ney leo unanifurahisha sanaMie hata sikumbuki chochote
Muulize mhusika
Sakayo ebu nijibu nimeambiwa nikuulize na Nokia vifungashio vya asali ndio vininiMuoga huyoo
Anune tu si ukweliSaa ngapi young usinigombanishe na sakayo hakawii kuninunia huyo
Halaf nilikutana na Eddy love jukwaa la ujasiriamali nikamquote nasikia unanitafuta Eddy sijui hajaingia tena jf nimeona kimyaMie hayo sikumbuki kabisaaa
KhaaaaaaaAnune tu si ukweli
[emoji3] [emoji3] [emoji3] mimi nilikuwa namuenjoy tu.Nilienda kutoa ushauri halaf umemuita hujui jinsia gani shauri yako nilikua nakuzoom tu
Hapana , hiyo sio dhima yangu, hilo nimelikumbuka tu. Kwani Shunie nimefanya makosa kukohoa? Ujue m0k nimeanzisha hii thread nimeumia kwa kiasi kikubwa, kila tendo afanyalo binadamu sio rahisi, imenichukua mudaKwahiyo hiko ndio kilichokufanya ukuje kuniandikia thread eenh
Ina maana hujui au ni dharau.... Hivi kwani una mizinga ShunieSakayo ebu nijibu nimeambiwa nikuulize na Nokia vifungashio vya asali ndio vinini
Ney nipo ila hali ya hewa siyo nzurii, mapokezi sio kama yalivyotarajiwaHivi huyo Shem kapotelea wapi? Au umemtimua shemeji yetu?