Gucci gang
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,682
- 5,277
Plan b hapo ni kumuomba namba umtumie tusenti...trust me apiti siku utakuta uzi sipesho foo yuu kutoka kwa shunie mkuuTayari mkuu japo hauridhishi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Plan b hapo ni kumuomba namba umtumie tusenti...trust me apiti siku utakuta uzi sipesho foo yuu kutoka kwa shunie mkuuTayari mkuu japo hauridhishi
Unafikiri kuna mateso zaidi ya haya?Young sitaki kumtesa masikini mkaka wa watu
HapanaHapana naona ndio unapoelekea
Mkuu agiza kinywaji unachokunywa bill ije kwangu tena mwambie atume mengiii hivyo tusentiPlan b hapo ni kumuomba namba umtumie tusenti...trust me apiti siku utakuta uzi sipesho foo yuu kutoka kwa shunie mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ney umenipa matumaini makubwa sanaa lol, ntakomaa hivo hivoo. Shunie nakupendaaaaaaaa
Ahahhah Ney unamjaza kaka wa watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kijana anakata tamaa mapema sanaAiseeh
Ila usikate tamaa, huwenda akakufikiria usiku maana shunie anaupendo wa taratibu sana.
Unateseka vipi tenaUnafikiri kuna mateso zaidi ya haya?
Moyo sukuma damu acha kiherehere maana ukiambiwa ukweli unanyong'onyeaaaaKivipiii tena
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Moyo sukuma damu acha kiherehere maana ukiambiwa ukweli unanyong'onyeaaaa
Itabidi apambane tu na hali yakeYoung sitaki kumtesa masikini mkaka wa watu
Kwakweli hakuna namnaItabidi apambane tu na hali yake
Hahahahahaa nimecheka aisee, wazo murua kwa wakati muruaaa...kwa jinsi nilivyo sasa Tigo pesa yake lazima isome but ni mwanamke asiekuwa na tamaa na cha mtuPlan b hapo ni kumuomba namba umtumie tusenti...trust me apiti siku utakuta uzi sipesho foo yuu kutoka kwa shunie mkuu
Ni katika harakati za kumsaidia na kumnusuru kijana mwenzangu nafsi yake isije kupata mfadhaiko.Una ninii lakini young
Ntumie no shunie ulete na mrejesho humuMkuu agiza kinywaji unachokunywa bill ije kwangu tena mwambie atume mengiii hivyo tusenti
Bado mkuu sijakata tamaa mwanamke huyo nae mbabe sanaaKijana anakata tamaa mapema sana
Ni upendo wangu kwako tu unanitesa ShunieUnateseka vipi tena
Ndo hivyo mkuu vyuma vimekaza ukiona mwenzako grisi inataka kumuangukia tunageuka madalali nasisi tule kidogoMkuu agiza kinywaji unachokunywa bill ije kwangu tena mwambie atume mengiii hivyo tusenti
Unanikatisha hadi tamaa ya kuishi badala ya kupenda tuKwakweli hakuna namna
Umeonaa mkuu shunie hela hiii tule wote asee.Ntumie no shunie ulete na mrejesho humu