Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
SawaAaah mi sio mzurulaji sana kama wewe japo ukitoka wewe nafuata Mimi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaAaah mi sio mzurulaji sana kama wewe japo ukitoka wewe nafuata Mimi
mzima lakiniSawa
Me mzima sana naona kijana wako anatafuta ajira msaidie mchukue shamba hukomzima lakini
Nashukuru kwa kuwa u mzimaMe mzima sana naona kijana wako anatafuta ajira msaidie mchukue shamba huko
Shida haijamshika aisee ikikushika unafanya chochote huwezi kuchagua cha kufanya nimemuonea huruma masikini mondray ningekuwa na uwezo ningemsaidiaNashukuru kwa kuwa u mzima
Kazi ya shamba inahitaji mtu anae jua kujitoa sasa huyo anataka kazi ambayo itafanyika mjini
Hii kazi ya shamba huwa hatuonekani mjini hata nusu mwaka sasa kwa nilivyo mwelewa kijana hawezi kazi za shamba
Mhhh ni mondrayShida haijamshika aisee ikikushika unafanya chochote huwezi kuchagua cha kufanya nimemuonea huruma masikini mondray ningekuwa na uwezo ningemsaidia
Ile si i'd yake ya pili aliyokua anatumia jina la rayvanny sasa hivi ameibadili tena watu wanasahau ukibadili I'd post zako za nyuma zinabaki kama kawaidaMhhh ni mondray
Amepatwa na nini?
Duuuh ukimwona popote mwambie ani PMIle si i'd yake ya pili aliyokua anatumia jina la rayvanny sasa hivi ameibadili tena watu wanasahau ukibadili I'd post zako za nyuma zinabaki kama kawaida
I'd yake nyingine kapewa ban we mom kwa hii aliyoomba kusaidiwaDuuuh ukimwona popote mwambie ani PM
Tatizo anabadilisha sana I'd
Sawa ila nimejikuta naumia sana sikujua kama no yeye maana hii nilikuwa siijuiI'd yake nyingine kapewa ban we mom kwa hii aliyoomba kusaidiwa
Ni yeye labda akatae tu mwenyewe nimejisikia vibaya mnoo masikini ile I'd yake mwanzo alikua anajiita rayvannySawa ila nimejikuta naumia sana sikujua kama no yeye maana hii nilikuwa siijui
Sawa ila nimejikuta amani imetokeweka moyon mwanguNi yeye labda akatae tu mwenyewe nimejisikia vibaya mnoo masikini ile I'd yake mwanzo alikua anajiita rayvanny
Ameen kaka akee [emoji120] mtafute lakini usiacheSawa ila nimejikuta amani imetokeweka moyon mwangu
Tumwombee mungu amfanikishe katika hitaji lake
Nimemwambia ani pm kama kweli yuko sirias atani pmAmeen kaka akee [emoji120] mtafute lakini usiache
Sawa kakaNimemwambia ani pm kama kweli yuko sirias atani pm
Sawa nitakupa mrejesho mda si mrefuSawa kaka
Hamna shida kaka akee nawaombea muende sawaSawa nitakupa mrejesho mda si mrefu
Umepotea sanaNaaam dadake
[emoji85] [emoji85] [emoji85]Hatimaye umeamua kuzurula na wewe
Nlikuwa napita nkaona mke mweeee ameukonga moyo wa mtu hapaLeo nimeona maajabu kumkuta huku