Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Sijui umeharibu wapi tena na hiyo banMwambie afike hapa kwanza nimuone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui umeharibu wapi tena na hiyo banMwambie afike hapa kwanza nimuone
Hata me nashangaaMbona huu Uzi haufutwi?
Tunataka mihamalaUmeona dada Ney anavyonifanyia unajua anakuiga ww
Kila mtu na lwake nafasi hakunaAsanteh sana nkungu
Hivi hii issue ya shunie imefikia wapi?
Naomba unijuze tafadhali maana sikuwepo kwa muda.
Nipe summary tuu
Halafu ni nini lakini hujaniita hadi napitwa na ubuyu wa forex mimi?Awe makini na nini
Hakuna dhambi kubwa kam kudanganya, bora ukae kimya tuNi kweli mkuu wala hujakosea
Tajiri wa rangi?Kila mtu na lwake nafasi hakuna
Mkuu nimeona kweli unanisaidia, ubarikiweMuonee huruma tu nenda kwake
Khe umenigeuka [emoji134] [emoji15] [emoji24]Tunataka mihamala
Najua we hutrade jamanHalafu ni nini lakini hujaniita hadi napitwa na ubuyu wa forex mimi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji113][emoji113][emoji113]Haufutwi na fujo sifanyi wewe si umkubalie tu mwenzio mpendane [emoji23] [emoji23]
We wasema me nimeshamalizaHakuna dhambi kubwa kam kudanganya, bora ukae kimya tu
Kwahiyo hii nyingineTajiri wa rangi?
Mihamala babuKhe umenigeuka [emoji134] [emoji15] [emoji24]
Unafurahi kuona nateseka eeeh, neno lilo juu yako lina thamani kubwa sanaa[emoji37][emoji37][emoji37]Pm situmii namfunguliaje nimeshamwambia
Mimi ni burokaKwahiyo hii nyingine
Mzima lakini?Najua we hutrade jaman
Mood hawawezi kufunga otherwise mwenye thread aombe hivo[emoji23][emoji23][emoji23]Waombe mods wafungue
Huu uzi unawakosea nini nyie watu[emoji23][emoji23]Nakazia naunga mkono hoja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa sauti hivi umeharibu wapi lakini nilivyoona hiyo avatar tu nimehisi ni weweMimi ni buroka