Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Yaan naona kulitifukaJamaniii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan naona kulitifukaJamaniii
Dada mambo?Mpaka sasa nimepata sifa za shunie kama 4 hivi
i. Mrembo
ii.white
iii.wowowo
iv.kibonge
Naamini atakuwa na jicho la kungu huyu dada na kiuno cha nyigu, ebu ongezeeni masifa yake mengine
Haya bhanaa...mimi nabaki kutoa mimacho kama mjusi kabanwa na mlango vilee [emoji102]Ndiooo
Nakazia naunga mkono hojaHuu Uzi inabidi ufutwe
Hakuna namna toa tuHaya bhanaa...mimi nabaki kutoa mimacho kama mjusi kabanwa na mlango vilee [emoji102]
Acha kisebengo dadaHaya bhanaa...mimi nabaki kutoa mimacho kama mjusi kabanwa na mlango vilee [emoji102]
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Acha kisebengo dada
Usijichekeshe[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Haahahah bado mkuu inabidi niandae uzi wa kutafuta couple hali ni mbwayi na hichi kibaridi ndio balaa kbsMkuu wewe bado hujapata couple humu ndani? Angalia bhana unaweza ishia kuhesabu couple za wenzako tuu
Ujue sijarudi rasmi, yaan naingia na kutoka [emoji6]Usicheke karibu ndiyo umerudi
Nipo hapaMbona aji uyo mrembo mwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23]Ujue sijarudi rasmi, yaan naingia na kutoka [emoji6]
Hivi unavyocheka unamaanisha nini?[emoji23][emoji23][emoji23]
Ahahhaa unanifurahisha sana neyHivi unavyocheka unamaanisha nini?
Muone vile
AhahahaaaaaaAhahhaa unanifurahisha sana ney
Kama ivyo safi jinsi ulivyo ana haki ya kudataNipo hapa
Ngoja nianze kulia kbs mkuu [emoji24] [emoji24] [emoji24]Usijichekeshe
Anzisha fasta mkuuHaahahah bado mkuu inabidi niandae uzi wa kutafuta couple hali ni mbwayi na hichi kibaridi ndio balaa kbs