Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kuwaita wapenzi wa wenzako malaya mkuu, kuwa na subiranyigu Watoto acheni kuhangaika na malaya wa mitandaoni
Jiulize mkuuMbona sisi wanaume hatufanyiwi uzi maalum huku???!!!au hatupendwi nini na hawa wadada
wasalaam wakuu.
huyu mwanamke mwa huku Jf amekuwa akininyima usingizi
hasa pale ninapoona AVATAR yake wakuu
naombeni kama leoo hajaenda kanisani asogee karibu walai tupige story
huenda ikanisaidiaa wakui
Naombeni kuwasilishaa....
Mwenzako juzi kati alikuja na huu uzi...wasalaam wakuu.
huyu mwanamke mwa huku Jf amekuwa akininyima usingizi
hasa pale ninapoona AVATAR yake wakuu
naombeni kama leoo hajaenda kanisani asogee karibu walai tupige story
huenda ikanisaidiaa wakui
Naombeni kuwasilishaa....
Shunie ameshawahiwa Mkuu, bahati yako mbaya.mkuu Genta mimi nimempenda kiukweli huyu mwanamkee, niko tyrii kwa lolote
wew ndo msemaji wakeShunie ameshawahiwa Mkuu, bahati yako mbaya.
Jaribu mwakani.
Ohooo,mimi ndiyo mwenyewe,labda usubiri nife.wew ndo msemaji wake
sitaki kujua mkuuOhooo,mimi ndiyo mwenyewe,labda usubiri nife.
Wewe endelea kujifanya kidume tu, kitakacho kutokea utakuja kuhadithia wenzako hapa siku sio nyingi.sitaki kujua mkuu
pouwa mkuu nakaza mwendoWewe endelea kujifanya kidume tu, kitakacho kutokea utakuja kuhadithia wenzako hapa siku sio nyingi.
Waambie na wenzako,wasione vimeundwa watu tunagharamia.pouwa mkuu nakaza mwendo
[emoji15] [emoji15] [emoji173] [emoji173]Duh, shemela huu uzi ndio nauona leo, kweli nilikuwa bado niko 2017
Kwani hii thread nyingine au kwakweli hiyo tabia siipendi kabisaShunie hapendi tabia ya mwanaume kuweka avatar ya kike, hiyo itakupunguzia credit itoe kabla hajaja.
Unampango wa kumuacha mwakani?Shunie ameshawahiwa Mkuu, bahati yako mbaya.
Jaribu mwakani.