Shunie: The thread is special for you.

Shunie: The thread is special for you.

Mbona sisi wanaume hatufanyiwi uzi maalum huku???!!!au hatupendwi nini na hawa wadada
 
Shunie hapendi tabia ya mwanaume kuweka avatar ya kike, hiyo itakupunguzia credit itoe kabla hajaja.
 
avatar isikuongopee kama si verified user sikujuwa kama cha urembo fulani angekuwa kimbaumbau vile pengine hakuwa yeye labda
watu wabaya sana
 
wasalaam wakuu.
huyu mwanamke mwa huku Jf amekuwa akininyima usingizi
hasa pale ninapoona AVATAR yake wakuu
naombeni kama leoo hajaenda kanisani asogee karibu walai tupige story
huenda ikanisaidiaa wakui
Naombeni kuwasilishaa....

Ndiyo Mwanamke pekee mwenye ' Mbunye Chocolate ' ( namaanisha tamu ) kuliko Wanawake wengine wote wenye ' Mbunye Klorokwini ' ( namaanisha mbaya ) wanaopatikana Kusini mwa Jangwa la Sahara. Jina lake tu lenyewe ukilitaja kama Wewe ni Mwanaume ' Rijali ' lazima ' ujipizie ' Kimtindo.
 
wasalaam wakuu.
huyu mwanamke mwa huku Jf amekuwa akininyima usingizi
hasa pale ninapoona AVATAR yake wakuu
naombeni kama leoo hajaenda kanisani asogee karibu walai tupige story
huenda ikanisaidiaa wakui
Naombeni kuwasilishaa....
Mwenzako juzi kati alikuja na huu uzi...

Shunie: The thread is special for you.
Na wewe tena umekuja na huu wa kwako daah!!

Lakini unawezaje ukampenda mtu ambaye hujawahi kumuona, nnasema hivyo kwa maana ungekua umemuona wala usingeanzisha uzi, mngemalizana huko mtaani!!

NB: Sometimes wadada inabidi mjichunguze! kuna kitu wenda hakiko sawa...
 
Back
Top Bottom