Shunie you're my everything...

Shunie you're my everything...

Status
Not open for further replies.
Dadeki, wacha nkasome story za Lara 1 nilale. Naona Hamna lingine la maana ninaloliweza humu JF.

[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]

- KANA -
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hao wasungo waso na unyagoo ndo wantutia sie aibu humu jamani looohh!!kutwa kutufanya tusionekane wa maana vya chooni wanaweka jikoni vya jikoni chooni...akaaaahhh!!![emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] tyupa kuleeeee
Aibu tunaona sie geni sijui ni utoto au kutokufundwa
 
hao wasungo waso na unyagoo ndo wantutia sie aibu humu jamani looohh!!kutwa kutufanya tusionekane wa maana vya chooni wanaweka jikoni vya jikoni chooni...akaaaahhh!!![emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] tyupa kuleeeee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] ngoja nilale ntaamka nayo asubuhi nisije bambwa bure

Madame S
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] madame s utakua umeelewa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji3] sisi wa pwani jamaaa
Nimeelewa hii sio kama ya Obe kule nyumbani kwetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Madame S
 
Nimejikuta nacheka jaman eti me ndio nimempiga sound sijui ulifkilia nini mkuu asante sana
Mkuu wewe siunaona hizo appreciations zenyewe anatoa kama vile anaogopa something psychopathic.

mafisadi hayana chama
 
Thread nyingi zilianzishwa kukuzungumzia wewe shunie ila na mimi ngoja niwe miongoni mwa waliofanya hivo japo yawezekana walikuwa hawajui wanachokifanya

Nafurahi jf hasa chit chart kunikutanisha na mwanamke huyu shunie umekuwa faraja kwangu nje na ndani ya JF...

Nina mengi ya kuandika kukuhusu wewe Shunie ila tambua NAKUPAENDA ...

Let's our love shine forever ....
Hayawi hayawi mbona yamekuwa


Muendelee vivyo hivyo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom