DJ SEPETU
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 8,413
- 12,336
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asee, we kadada upo!?hua unatuombea kila lenye mema me na mshikaji wako Shunie but leo naomba niwawish nanyi kwenye safari yenu hii mnayoindeleza
Mungu awasimamie mdumu wote milele
safari mliyoianza ina kila aina ya misukosuko hope u two can both make it till the end
tunawapenda!
shemeji lee empire kila la heri
hao wasungo waso na unyagoo ndo wantutia sie aibu humu jamani looohh!!kutwa kutufanya tusionekane wa maana vya chooni wanaweka jikoni vya jikoni chooni...akaaaahhh!!![emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] tyupa kuleeeee
Shikamoo nyakangatenaaaa....ndo nyakangaa lao mie staki aibu wala dharau chezea sie weyee
[emoji122] [emoji122] umeona eeehh...sisi wa pwani hatupikiwagi na wabaraa...kwetu mapishi ndo yalikoanzia ya jikoni mpk chumbani....!!!ukitaka vibibi,maharage ya kukata na biriani lakeee
tutapika sisi wenyeweeee......
Ahhahhaha sumbai hivi umefikilia nini anafaidi nini sasa jamanNasema ukweli mtupu....
Anafaidi mnoo....huyo mdau
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Huu uzi unanikumbusha uzi mmoja humu miaka ya nyuma alianzishiwa mrembo mmoja. Halafu uzi ukawa mrefu sanaaaaa lol! Usiniulize nini kilichojiri sikumbuki hata chembe 🙂🙂
nipe tu mrejesho japo kidogoo...tu!!nini kilijiri bann au mahaba mazitooo
Ajapata mwali kigego kabisa dearHahaha ni matuamini yangu hujapata mwari kigego
Madame S
Mimi naomba niwe msaidizi wako kungwi
Madame S
Ahahhah kajichanganya sana wazee wa kufukua makabuliUmefanya la msingi sana kuniita.
Hahahaha huyo amejichanganya kidogo. Angesema hawa ndiyo wale vitoto vya kishilawadu
Yule mbona nilishamwambia me mke wa mtu haelewi tu ananiambia ananisubili eti niachike kweliiii mchukue mpenzi ili mawazo ya shunie yamtokeYule naniliiiii wa kule usiku wa manane utaniachia siyo?
Naanzaje kuwa kigego nyakanga wanguhapana[emoji3] [emoji3] [emoji3] huyu si kigego
Ewaaaaahaina shida ili mwali wetu awe mwerevu
Ameen lovie Mungu aepushie hayo jamaan aiseeVizuri na matumaini yangu yupo na mwanaume sahihi
Yale mambo ya kuumbuana humu sidhani kama yatatokea me nawaombea wadumu milele
Madame S
Ameen dada ake[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] sana dada ake.
M'mungu awasimamie mfikie pale yalipo matarajio yenu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hahaaa. My dada wanapita kimya kimya halafu kufwa kunafuata baadae. Teh teh teh.
Si unajua watu wa tanga hatubahatishi geni yupo vizuriNapata raha walahi kumbe da geni nawe uko vizuri.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Kabisa mtu ambaye haujafundwa dada akee utajulia wapi hayoKuyajua yote hayo mpaka uwe umefunzwa na somo likaingia dada ake. [emoji125] [emoji125]