Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Hongeraa Lee ila isiwe maigizo ya jf.... TutakosanaThread nyingi zilianzishwa kukuzungumzia wewe shunie ila na mimi ngoja niwe miongoni mwa waliofanya hivo japo yawezekana walikuwa hawajui wanachokifanya
Nafurahi jf hasa chit chart kunikutanisha na mwanamke huyu shunie umekuwa faraja kwangu nje na ndani ya JF...
Nina mengi ya kuandika kukuhusu wewe Shunie ila tambua NAKUPAENDA ...
Let's our love shine forever ....