Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
Mpe Basi Hilo andiko ww kirakaTunza heshima yako Allen Kilewella
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpe Basi Hilo andiko ww kirakaTunza heshima yako Allen Kilewella
Halafu jamaa huyo ni mpiga "mbuzi katoliki" mzuri, kifungua funga yake ni hiyo.Hili likemewe vilivyo, IPO siku wataingiza mbwa msikitini Kwa kisingizio Cha USALAMA!!
Cc: FaizaFoxy
Kazi yake kuandikiwa sio kutoa kichwani!Msemaji mwenyewe mgeni. Sasa anaanzaje na hoja tete? Hilo ni jaribu
Mungu akubariki sana ndugu BANDOKITITA kwa mchango wako huu mzuri.Sahihi alindwe, ila sema wewe hii siyo dini yako hivyo hujui UTARATIBU na MIIKO yake. Na kitu usichokijua siyo vizuri kukishangilia maana utazidi kupotosha na wengine.
Hapa watu hawaangalii nafasi ya mtu ktk serikali, wanaangalia UTARATIBU na MIIKO ya dini husika inasemaj. Km wangekuwa wanaangalia nafasi ya mtu basi Rais huyo angeingia msikitini na mabunduki yamemzunguka km anapokuwa kwenye mazingira mengine ya kawaida.
Km ingekuwa inaangaliwa nafasi aliyonayo basi asingevua viatu nje na kuingia peku msikitini na wasaidizi wake.
Km ingekuwa inaangaliwa nafasi aliyonayo asingefuata maagizo ya IMAMU wakati wa kuswali. Imam akielekeza kuwa "sasa ni muda wa swala kila mtu azime SIMU yake lazima azime". Unajua ni kwa nini.
Tusipende kudakia na kushadadia mambo tusiyoyafahamu. Madaraka ya duniani mwisho ni mlangoni mwa mlango wa nyumba ya ibada. Nyie ndo mnakuwa viongozi tayari unachukuwa na nafasi ya Mungu, unaanza kudharau watu, kuwatusi, na kuwatisha ili wakunyenyekee.
Kumbuka wanaoona km jambo lilofanyika halikuwa sawa ni ndugu zake wenyewe (WAISLAM WENZAKE). Sasa wewe wa upande wa pili unapata wapi nguvu ya kusema alikuwa sahihi lazima alindwe. Km kulikuwa na tishio la usalama asingetoka hata kwake. "Ulinzi pekee wa uhakika unatoka kwa Mungu, Unaweza kuwa na mabunduki yako na mapanga lakini ukauwawa na MANATI."
Aise kumbe inafaa tutawaliwe na rais dikteta, watu kama wewe na wenzako mpate mnachostahili kutoka kwakeYaani huyo mlinzi ni punguani kabisa.utalindaje muuzaji hovyo wa maliasili za tz
Hili swali ni halaliSo, Wameuziwa kina nani hiyo misitu?
Hizi ni Propaganda.Huyu mama anawaumiza sana kichwa kwakua ni mwarabu, muislamu, mzanzibari, mwanamke, sio?
Umekosea sio kitengo ni jumuia kama ilivyo uwt,uvccm na wazazi!BAKWATA ni kitengo cha Kiislamu ndani ya CCM na jukumu lake kubwa ni kuwaghilib Waislam waiunge mkono CCM nyakati za uchaguzi.
Well said.Umekosea sio kitengo ni jumuia kama ilivyo uwt,uvccm na wazazi!
Kwa wenye fikira kana wewe huoni hoja ya ulinzi madhubuti? Makomando wengi ni wanaume hivyo kuwa na mlinzi mwanaume. Huko msikitini na makanisani ndio rahisi kufanya uhalifu kwa zana kuwa wote wamekuja kumwabudu Mungu. Watawala wengi wameuliwa maeneo ya kuabudia toka zamaniHuyu mtu anaangaika kuwatumikia watu wasiomtaka kwanini? Akae pembeni
Point yake ni nini? wenye fikra kama zangu tunataka kumuua au? Ebu jiheshimu.Kwa wenye fikira kana wewe huoni hoja ya ulinzi madhubuti? Makomando wengi ni wanaume hivyo kuwa na mlinzi mwanaume. Huko msikitini na makanisani ndio rahisi kufanya uhalifu kwa zana kuwa wote wamekuja kumwabudu Mungu. Watawala wengi wameuliwa maeneo ya kuabudia toka zamani
Hapana. Kukosa fikra pana ya medanj za ulinziPoint yake ni nini? wenye fikra kama zangu tunataka kumuua au? Ebu jiheshimu.
Hilo lijamaa lilikuwa na kipururu tu! Si unajua kwenye ishu kama hzo wanaokuja hapo majority ni maisha bora? Sasa mwamba alikuja kuangalia misambwanda tu hapo! Tiss nawaamin hawawezi kufanya recruit ya kishamba hvyoBado tuna akili za kizamani sana, kwahiyo kumlinda Rais lazima uingie naye msikitini na ukae nyuma yake akiswali?.
Kama kweli atakuwa Mwanaume basi itanishangaza sana na kuwadharau hawa watu wetu.
Kwanini hao TISS wangehakikisha eneo ni salama kuuzunguka msikiti na kuhakikisha wanascan kila muumini kwa maana ya kuhakikisha wanamfahamu kila aliyeswali siku hiyo ndani.
Ndani ya Tiss hakuna wanawake wakiislamu wenye weledi wanaoweza kuswali kwenye swafu nyuma ya Rais na mbele yake, kushoto-kulia na means zote za mawasiliano? Incase Kuna shida wanacommunicate nje haraka?