Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye kuhakikisha ulinzi na usalama wa Mh. Rais unazungatiwa lolote linaweza kufanyika hata kama ni kuingia na mbwa msikitini wataingizwa tu. Usalama wa Rais ni zaidi ya hizo mila na desturi za kiarabu. Imeisha hiyoBismillahir Rahmanir Rahiim
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
KAMATI YA MAADILI
WARAKA WA WAZI KWA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI
JUNI 18, 2024.
‘MLINZI MWANAMUME WA RAIS KUVAA HIJABU NA KUINGIA MSIKITINI’
Shura ya Maimamu imeona malumbano yanayoendelea katika Mitandao ya Kijamii kuhusiana na picha inayomuonesha mtu anayekisiwa kuwa ni mwanamume akiwa amevaa mavazi ya kike ya Kiislamu.
Picha hiyo inamuonesha mtu huyo akiwa pamoja na wanawake wa Kiislamu akiwa nyuma ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Msikitini
Picha hiyo inasemekana ilichukuliwa katika Swala ya Idd Adh-Ha iliyo swaliwa juamatatu Juni 17, 2024, katika Msikiti wa Mikocheni (kwa Warioba), jijini Dar es Salaam.
Katika malumbano hayo inaelezwa kuwa mtu huyo ni miongoni mwa timu ya walinzi wa mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan na alikuwa Msikitini hapo kikazi.
MAKOSA MAKUBWA
Shura ya Maimamu imo katika juhudi ya kupata hakika ya mtu huyo kama ni sehemu ya ulinzi wa Rais Samia Suluhu Hassan au laa. Hata hivyo ikiwa tukio kama hilo litaihusisha serikali yoyote ile tunasema ifuatavyo:
Ifahamike kuwa Wanawake wa Kiislamu huvaa mavazi ya stara kusitiri aura zao mbele ya wanaume wasio waume zao.
Lakini wanapokuwa sehemu ya wanawake Msikitini huwa huru kupunguza stara zao kwa kuamini kuwa hakuna mwanamume atakaye waumbua.
Kwa hiyo mwanamume kuingia sehemu hiyo tena kwa kificho, ni kudhamiria kuwaona utupu wanawake hao wachamungu wenye tabia ya kujistiri. Na hiicho ni kitendo kibaya cha kuwadhalilisha na kuwafedhehesha wanawake wachamungu.
Vilevile Wanawake wa Kiislamu wanapo swali hujipanga katika safu peke yao mbali na wanamume. Kitendo cha kumuweka mwanamume miongoni mwao kisha wakagusana tena ndani ya swala kinaharibu swala zao.
Pia ni kutendo cha kukiuka sheria zinazolinda uhuru wao wa kuabudu. Kitendo hicho pia kinavunja utukufu na heshma ya nyumba takatifu ya Mwenyezi Mungu, Msikiti.
Turejee kusema iwapo mwanamume atajitanda kwa mavazi ya wanawake kisha akaingia Msikitini upande wa wanawake basi hicho ni kitendo kibaya kabisa kinachofedhehesha dini na hata usalama wa taifa.
Shura ya Maimamu inakemea vikali kitendo hicho kisifanywe na ikiwa kimefanywa mfanyaji, na walioidhinisha wanapaswa kuwaomba radhi Waislamu.
Iwapo wahusika hao ni Waislam, wanapaswa kutubu kwa Allah (SW) kwa kutothamini dini yao.
WITO KWA SERIKALI
Shura ya Maimamu inatoa wito kwa vyombo husika vya Dola Tanzania kutoa ufafanuzi iwapo ni kweli kwamba msafara wa Rais Samia Suluhu Hassan ulijumuisha mlinzi mwanamume aliyeingia Msikitini sehemu ya wanawake na kwamba alifanya hivyo akiwa amefichama kwa kuvaa hijab, vazi la stara la wanawake wa Kiislamu.
Shura inasisitiza kuwa ufafanuzi huo ni muhimu sana kupatikana kwa haraka kwa sababu zifuatazo:
1. Kuondoa taharuki miongoni mwa jamii, na hususan wanawake wa Kiislamu.
2. Ikiwa serika ya Tanzania imehusika, ni muhimu Umma ufahamishwe tukio hilo ni la mara ya kwanza au ndiyo utaratibu wa kiulinzi toka Rais mwanamke alipokuwa Makamu wa Rais na sasa Rais.
3. Umma ufahamishwe iwapo mlinzi huyo ni yeye pekee au wapo wengine wanaume wanaoingia na Rais Msikitini upande wa wanawake wakiwa wamevaa hijabu.
4. Umma ufahamu mlinzi huyo kuvaa hijabu na kuingia kwa kificho Msikitini kwa wanawake ni utashi wake au ni utaratibu wa kazi aliopangiwa.
5. Wananchi wana haki ya kupata ufafanuzi kwa serikali yao pindi linapotokea jambo lenye kutatiza katika jamii.
Katika kuhitimisha, Shura ya Maimamu inarejea wito wake kwa kuhimiza vyombo husika kitoa ufafanuzi wa suala hili kwa muktadha wa nukta tulizoainishwa hapo juu .
Imetolewa Dar es Salaam leo tarehe 18 mwezi wa 6 mwaka 2024.
USTADHI MUSTAFA M. ABEID
KATIBU KAMATI YA MAADILI
Usikute mwanaume huyo naye ni muislamu..!!Kumekucha, haya wenye dini yao wameongea. Sisi wengine tunasoma tu.
Kwa kuwa sijui taratibu za kikatoliki siwezi kujibia.Huwa kuna maandiko halafu kuna utaratibu. Kuna mahali kwenye ukatoliki kuna andiko la kuwa pawe na watawa wa kike na wasiolewe wala kuzaa watoto?
Alindwe kwa kuchochea ushoga msikitini. Unamvalishaje mwanaume Dera na kumpaka lipstick ili alimlinde Rais msikitini.Mihemko tu. Rais alindwe.
Usalama ndio Nini? Wasihojiwe?Hawa wanatafuta matatizo.
Watakachokipata watajuta.
Watu wa Usalama Unawauliza na Unataka Wakujibu?
Tusubiri yule shekhe wa Mheshimiwa Yesu akija kupinga.Bismillahir Rahmanir Rahiim
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
KAMATI YA MAADILI
WARAKA WA WAZI KWA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI
JUNI 18, 2024.
‘MLINZI MWANAMUME WA RAIS KUVAA HIJABU NA KUINGIA MSIKITINI’
Shura ya Maimamu imeona malumbano yanayoendelea katika Mitandao ya Kijamii kuhusiana na picha inayomuonesha mtu anayekisiwa kuwa ni mwanamume akiwa amevaa mavazi ya kike ya Kiislamu.
Picha hiyo inamuonesha mtu huyo akiwa pamoja na wanawake wa Kiislamu akiwa nyuma ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Msikitini
Picha hiyo inasemekana ilichukuliwa katika Swala ya Idd Adh-Ha iliyo swaliwa juamatatu Juni 17, 2024, katika Msikiti wa Mikocheni (kwa Warioba), jijini Dar es Salaam.
Katika malumbano hayo inaelezwa kuwa mtu huyo ni miongoni mwa timu ya walinzi wa mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan na alikuwa Msikitini hapo kikazi.
MAKOSA MAKUBWA
Shura ya Maimamu imo katika juhudi ya kupata hakika ya mtu huyo kama ni sehemu ya ulinzi wa Rais Samia Suluhu Hassan au laa. Hata hivyo ikiwa tukio kama hilo litaihusisha serikali yoyote ile tunasema ifuatavyo:
Ifahamike kuwa Wanawake wa Kiislamu huvaa mavazi ya stara kusitiri aura zao mbele ya wanaume wasio waume zao.
Lakini wanapokuwa sehemu ya wanawake Msikitini huwa huru kupunguza stara zao kwa kuamini kuwa hakuna mwanamume atakaye waumbua.
Kwa hiyo mwanamume kuingia sehemu hiyo tena kwa kificho, ni kudhamiria kuwaona utupu wanawake hao wachamungu wenye tabia ya kujistiri. Na hiicho ni kitendo kibaya cha kuwadhalilisha na kuwafedhehesha wanawake wachamungu.
Vilevile Wanawake wa Kiislamu wanapo swali hujipanga katika safu peke yao mbali na wanamume. Kitendo cha kumuweka mwanamume miongoni mwao kisha wakagusana tena ndani ya swala kinaharibu swala zao.
Pia ni kutendo cha kukiuka sheria zinazolinda uhuru wao wa kuabudu. Kitendo hicho pia kinavunja utukufu na heshma ya nyumba takatifu ya Mwenyezi Mungu, Msikiti.
Turejee kusema iwapo mwanamume atajitanda kwa mavazi ya wanawake kisha akaingia Msikitini upande wa wanawake basi hicho ni kitendo kibaya kabisa kinachofedhehesha dini na hata usalama wa taifa.
Shura ya Maimamu inakemea vikali kitendo hicho kisifanywe na ikiwa kimefanywa mfanyaji, na walioidhinisha wanapaswa kuwaomba radhi Waislamu.
Iwapo wahusika hao ni Waislam, wanapaswa kutubu kwa Allah (SW) kwa kutothamini dini yao.
WITO KWA SERIKALI
Shura ya Maimamu inatoa wito kwa vyombo husika vya Dola Tanzania kutoa ufafanuzi iwapo ni kweli kwamba msafara wa Rais Samia Suluhu Hassan ulijumuisha mlinzi mwanamume aliyeingia Msikitini sehemu ya wanawake na kwamba alifanya hivyo akiwa amefichama kwa kuvaa hijab, vazi la stara la wanawake wa Kiislamu.
Shura inasisitiza kuwa ufafanuzi huo ni muhimu sana kupatikana kwa haraka kwa sababu zifuatazo:
1. Kuondoa taharuki miongoni mwa jamii, na hususan wanawake wa Kiislamu.
2. Ikiwa serika ya Tanzania imehusika, ni muhimu Umma ufahamishwe tukio hilo ni la mara ya kwanza au ndiyo utaratibu wa kiulinzi toka Rais mwanamke alipokuwa Makamu wa Rais na sasa Rais.
3. Umma ufahamishwe iwapo mlinzi huyo ni yeye pekee au wapo wengine wanaume wanaoingia na Rais Msikitini upande wa wanawake wakiwa wamevaa hijabu.
4. Umma ufahamu mlinzi huyo kuvaa hijabu na kuingia kwa kificho Msikitini kwa wanawake ni utashi wake au ni utaratibu wa kazi aliopangiwa.
5. Wananchi wana haki ya kupata ufafanuzi kwa serikali yao pindi linapotokea jambo lenye kutatiza katika jamii.
Katika kuhitimisha, Shura ya Maimamu inarejea wito wake kwa kuhimiza vyombo husika kitoa ufafanuzi wa suala hili kwa muktadha wa nukta tulizoainishwa hapo juu .
Imetolewa Dar es Salaam leo tarehe 18 mwezi wa 6 mwaka 2024.
USTADHI MUSTAFA M. ABEID
KATIBU KAMATI YA MAADILI
Angekuwa ni rais Mkristo aliyefanya tulio lile hadi Saudi Arabia kingenuka😂😂Alindwe kwa kuchochea ushoga msikitini. Unamvalishaje mwanaume Dera na kumpaka lipstick ili alimlinde Rais msikitini.
Mtajua wenyewe!angekua kafanya rais upande wa pili, kesho yake asbh tu mngeingia barabarani!ila kwa sababu ni wa kwenu mnajifanya kutoa waraka!mtajua wenyeewe na rais wenu!sisi hayatuhusu hayo!Bismillahir Rahmanir Rahiim
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
KAMATI YA MAADILI
WARAKA WA WAZI KWA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI
JUNI 18, 2024.
‘MLINZI MWANAMUME WA RAIS KUVAA HIJABU NA KUINGIA MSIKITINI’
Shura ya Maimamu imeona malumbano yanayoendelea katika Mitandao ya Kijamii kuhusiana na picha inayomuonesha mtu anayekisiwa kuwa ni mwanamume akiwa amevaa mavazi ya kike ya Kiislamu.
Picha hiyo inamuonesha mtu huyo akiwa pamoja na wanawake wa Kiislamu akiwa nyuma ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Msikitini
Picha hiyo inasemekana ilichukuliwa katika Swala ya Idd Adh-Ha iliyo swaliwa juamatatu Juni 17, 2024, katika Msikiti wa Mikocheni (kwa Warioba), jijini Dar es Salaam.
Katika malumbano hayo inaelezwa kuwa mtu huyo ni miongoni mwa timu ya walinzi wa mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan na alikuwa Msikitini hapo kikazi.
MAKOSA MAKUBWA
Shura ya Maimamu imo katika juhudi ya kupata hakika ya mtu huyo kama ni sehemu ya ulinzi wa Rais Samia Suluhu Hassan au laa. Hata hivyo ikiwa tukio kama hilo litaihusisha serikali yoyote ile tunasema ifuatavyo:
Ifahamike kuwa Wanawake wa Kiislamu huvaa mavazi ya stara kusitiri aura zao mbele ya wanaume wasio waume zao.
Lakini wanapokuwa sehemu ya wanawake Msikitini huwa huru kupunguza stara zao kwa kuamini kuwa hakuna mwanamume atakaye waumbua.
Kwa hiyo mwanamume kuingia sehemu hiyo tena kwa kificho, ni kudhamiria kuwaona utupu wanawake hao wachamungu wenye tabia ya kujistiri. Na hiicho ni kitendo kibaya cha kuwadhalilisha na kuwafedhehesha wanawake wachamungu.
Vilevile Wanawake wa Kiislamu wanapo swali hujipanga katika safu peke yao mbali na wanamume. Kitendo cha kumuweka mwanamume miongoni mwao kisha wakagusana tena ndani ya swala kinaharibu swala zao.
Pia ni kutendo cha kukiuka sheria zinazolinda uhuru wao wa kuabudu. Kitendo hicho pia kinavunja utukufu na heshma ya nyumba takatifu ya Mwenyezi Mungu, Msikiti.
Turejee kusema iwapo mwanamume atajitanda kwa mavazi ya wanawake kisha akaingia Msikitini upande wa wanawake basi hicho ni kitendo kibaya kabisa kinachofedhehesha dini na hata usalama wa taifa.
Shura ya Maimamu inakemea vikali kitendo hicho kisifanywe na ikiwa kimefanywa mfanyaji, na walioidhinisha wanapaswa kuwaomba radhi Waislamu.
Iwapo wahusika hao ni Waislam, wanapaswa kutubu kwa Allah (SW) kwa kutothamini dini yao.
WITO KWA SERIKALI
Shura ya Maimamu inatoa wito kwa vyombo husika vya Dola Tanzania kutoa ufafanuzi iwapo ni kweli kwamba msafara wa Rais Samia Suluhu Hassan ulijumuisha mlinzi mwanamume aliyeingia Msikitini sehemu ya wanawake na kwamba alifanya hivyo akiwa amefichama kwa kuvaa hijab, vazi la stara la wanawake wa Kiislamu.
Shura inasisitiza kuwa ufafanuzi huo ni muhimu sana kupatikana kwa haraka kwa sababu zifuatazo:
1. Kuondoa taharuki miongoni mwa jamii, na hususan wanawake wa Kiislamu.
2. Ikiwa serika ya Tanzania imehusika, ni muhimu Umma ufahamishwe tukio hilo ni la mara ya kwanza au ndiyo utaratibu wa kiulinzi toka Rais mwanamke alipokuwa Makamu wa Rais na sasa Rais.
3. Umma ufahamishwe iwapo mlinzi huyo ni yeye pekee au wapo wengine wanaume wanaoingia na Rais Msikitini upande wa wanawake wakiwa wamevaa hijabu.
4. Umma ufahamu mlinzi huyo kuvaa hijabu na kuingia kwa kificho Msikitini kwa wanawake ni utashi wake au ni utaratibu wa kazi aliopangiwa.
5. Wananchi wana haki ya kupata ufafanuzi kwa serikali yao pindi linapotokea jambo lenye kutatiza katika jamii.
Katika kuhitimisha, Shura ya Maimamu inarejea wito wake kwa kuhimiza vyombo husika kitoa ufafanuzi wa suala hili kwa muktadha wa nukta tulizoainishwa hapo juu .
Imetolewa Dar es Salaam leo tarehe 18 mwezi wa 6 mwaka 2024.
USTADHI MUSTAFA M. ABEID
KATIBU KAMATI YA MAADILI
umeona eeh mkuu!wangeingia barabarani asbh yake tuu kama majinga hvii!Angekuwa ni rais Mkristo aliyefanya tulio lile hadi Saudi Arabia kingenuka😂😂
i Muislamu lakini dhehebu langu hariruhusu mwanamke kwenda kuswali msikitini anaswalia nyumbani ndio maana hata misikiti tunayojenga haina sehemu ya kuswalia wanawake sasa Shuhura inapotoa tamko isiunganishe wote waseme dhehebu lililofedheheshwaWaislamu wamkatae kiongozi anayedharau dini Kwa kuingia na wanaume sehemu ya wanawake!!
Kwakutumia akili mnembo Ukiona ulinzi umeimarishwa sehemu husika ujue usalama ni mdogo zinatumika mbinu za midani, halafu Rais ni taasisiBismillahir Rahmanir Rahiim
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
KAMATI YA MAADILI
WARAKA WA WAZI KWA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI
JUNI 18, 2024.
‘MLINZI MWANAMUME WA RAIS KUVAA HIJABU NA KUINGIA MSIKITINI’
Shura ya Maimamu imeona malumbano yanayoendelea katika Mitandao ya Kijamii kuhusiana na picha inayomuonesha mtu anayekisiwa kuwa ni mwanamume akiwa amevaa mavazi ya kike ya Kiislamu.
Picha hiyo inamuonesha mtu huyo akiwa pamoja na wanawake wa Kiislamu akiwa nyuma ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Msikitini
Picha hiyo inasemekana ilichukuliwa katika Swala ya Idd Adh-Ha iliyo swaliwa juamatatu Juni 17, 2024, katika Msikiti wa Mikocheni (kwa Warioba), jijini Dar es Salaam.
Katika malumbano hayo inaelezwa kuwa mtu huyo ni miongoni mwa timu ya walinzi wa mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan na alikuwa Msikitini hapo kikazi.
MAKOSA MAKUBWA
Shura ya Maimamu imo katika juhudi ya kupata hakika ya mtu huyo kama ni sehemu ya ulinzi wa Rais Samia Suluhu Hassan au laa. Hata hivyo ikiwa tukio kama hilo litaihusisha serikali yoyote ile tunasema ifuatavyo:
Ifahamike kuwa Wanawake wa Kiislamu huvaa mavazi ya stara kusitiri aura zao mbele ya wanaume wasio waume zao.
Lakini wanapokuwa sehemu ya wanawake Msikitini huwa huru kupunguza stara zao kwa kuamini kuwa hakuna mwanamume atakaye waumbua.
Kwa hiyo mwanamume kuingia sehemu hiyo tena kwa kificho, ni kudhamiria kuwaona utupu wanawake hao wachamungu wenye tabia ya kujistiri. Na hiicho ni kitendo kibaya cha kuwadhalilisha na kuwafedhehesha wanawake wachamungu.
Vilevile Wanawake wa Kiislamu wanapo swali hujipanga katika safu peke yao mbali na wanamume. Kitendo cha kumuweka mwanamume miongoni mwao kisha wakagusana tena ndani ya swala kinaharibu swala zao.
Pia ni kutendo cha kukiuka sheria zinazolinda uhuru wao wa kuabudu. Kitendo hicho pia kinavunja utukufu na heshma ya nyumba takatifu ya Mwenyezi Mungu, Msikiti.
Turejee kusema iwapo mwanamume atajitanda kwa mavazi ya wanawake kisha akaingia Msikitini upande wa wanawake basi hicho ni kitendo kibaya kabisa kinachofedhehesha dini na hata usalama wa taifa.
Shura ya Maimamu inakemea vikali kitendo hicho kisifanywe na ikiwa kimefanywa mfanyaji, na walioidhinisha wanapaswa kuwaomba radhi Waislamu.
Iwapo wahusika hao ni Waislam, wanapaswa kutubu kwa Allah (SW) kwa kutothamini dini yao.
WITO KWA SERIKALI
Shura ya Maimamu inatoa wito kwa vyombo husika vya Dola Tanzania kutoa ufafanuzi iwapo ni kweli kwamba msafara wa Rais Samia Suluhu Hassan ulijumuisha mlinzi mwanamume aliyeingia Msikitini sehemu ya wanawake na kwamba alifanya hivyo akiwa amefichama kwa kuvaa hijab, vazi la stara la wanawake wa Kiislamu.
Shura inasisitiza kuwa ufafanuzi huo ni muhimu sana kupatikana kwa haraka kwa sababu zifuatazo:
1. Kuondoa taharuki miongoni mwa jamii, na hususan wanawake wa Kiislamu.
2. Ikiwa serika ya Tanzania imehusika, ni muhimu Umma ufahamishwe tukio hilo ni la mara ya kwanza au ndiyo utaratibu wa kiulinzi toka Rais mwanamke alipokuwa Makamu wa Rais na sasa Rais.
3. Umma ufahamishwe iwapo mlinzi huyo ni yeye pekee au wapo wengine wanaume wanaoingia na Rais Msikitini upande wa wanawake wakiwa wamevaa hijabu.
4. Umma ufahamu mlinzi huyo kuvaa hijabu na kuingia kwa kificho Msikitini kwa wanawake ni utashi wake au ni utaratibu wa kazi aliopangiwa.
5. Wananchi wana haki ya kupata ufafanuzi kwa serikali yao pindi linapotokea jambo lenye kutatiza katika jamii.
Katika kuhitimisha, Shura ya Maimamu inarejea wito wake kwa kuhimiza vyombo husika kitoa ufafanuzi wa suala hili kwa muktadha wa nukta tulizoainishwa hapo juu .
Imetolewa Dar es Salaam leo tarehe 18 mwezi wa 6 mwaka 2024.
USTADHI MUSTAFA M. ABEID
KATIBU KAMATI YA MAADILI
Hoja yako ni kuwa lazima pawe na maandiko kuhusu taratibu za kidini. Nimeijubu vizuri kwa kuuliza swali ndugu Allan labda kama umekataa kunielewa.Kwa kuwa sijui taratibu za kikatoliki siwezi kujibia.
Lakini naamini hoja yangu hujaielewa!!
Sehemu yoyote atakayozuru Rais Mbwa lazima wapelekwe kunusa vitu vibaya 😂Yaani alindwe hata Kwa kukiuka taratibu za dini? Kuna siku mtapeleka Mbwa msikitini Kwa Kisingizio cha Rais kulindwa.
Rais mkristo ataingia msikitini kufanya nini?Angekuwa ni rais Mkristo aliyefanya tulio lile hadi Saudi Arabia kingenuka😂😂
Yap.Hoja yako ni kuwa lazima pawe na maandiko kuhusu taratibu za kidini. Nimeijubu vizuri kwa kuuliza swali ndugu Allan labda kama umekataa kunielewa.