Shura ya Maimamu Tanzania: Mlinzi Mwanamume wa Rais kuvaa Hijabu na kuingia Msikitini

Mungu akubariki sana ndugu BANDOKITITA kwa mchango wako huu mzuri.
 
Yaani huyo mlinzi ni punguani kabisa.utalindaje muuzaji hovyo wa maliasili za tz
Aise kumbe inafaa tutawaliwe na rais dikteta, watu kama wewe na wenzako mpate mnachostahili kutoka kwake

So, Wameuziwa kina nani hiyo misitu? Huyu mama anawaumiza sana kichwa kwakua ni mwarabu, muislamu, mzanzibari, mwanamke, sio?
 
Bado tuna akili za kizamani sana, kwahiyo kumlinda Rais lazima uingie naye msikitini na ukae nyuma yake akiswali?.
Kama kweli atakuwa Mwanaume basi itanishangaza sana na kuwadharau hawa watu wetu.

Kwanini hao TISS wangehakikisha eneo ni salama kuuzunguka msikiti na kuhakikisha wanascan kila muumini kwa maana ya kuhakikisha wanamfahamu kila aliyeswali siku hiyo ndani.
Ndani ya Tiss hakuna wanawake wakiislamu wenye weledi wanaoweza kuswali kwenye swafu nyuma ya Rais na mbele yake, kushoto-kulia na means zote za mawasiliano? Incase Kuna shida wanacommunicate nje haraka?
 
Huyu mtu anaangaika kuwatumikia watu wasiomtaka kwanini? Akae pembeni
Kwa wenye fikira kana wewe huoni hoja ya ulinzi madhubuti? Makomando wengi ni wanaume hivyo kuwa na mlinzi mwanaume. Huko msikitini na makanisani ndio rahisi kufanya uhalifu kwa zana kuwa wote wamekuja kumwabudu Mungu. Watawala wengi wameuliwa maeneo ya kuabudia toka zamani
 
Point yake ni nini? wenye fikra kama zangu tunataka kumuua au? Ebu jiheshimu.
 
So trivial. Rais asijisumbue kujibu hili. Kuna mambo ya msingi ya kujibu sio hili.

Hakuna wanawake wenye sura za kiume?
 
Yawezekana habari hii hata kwa Rais ni ngeni kwake si lazima ajue wote wanaomlinda huo ubunifu wa tis pengine walikuwa na fununnu za kutiliwa shaka.
 
Wewe kama nani mpaka ujibiwe halafu kaa ukijua haitokaa hata sikumoja idara ikajitokeza hadharani kujibu shutuma au kuelezea ufafanuzi wa jambo lolote iwe inahusika au haihusiki.

Tangu kuundwa kwake ilishafanya mara moja tu na haitokaa ijirudie tena.
 
Hilo lijamaa lilikuwa na kipururu tu! Si unajua kwenye ishu kama hzo wanaokuja hapo majority ni maisha bora? Sasa mwamba alikuja kuangalia misambwanda tu hapo! Tiss nawaamin hawawezi kufanya recruit ya kishamba hvyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…