Shura ya maimamu yakana kutoa waraka wa uchaguzi, yampongeza Rais Magufuli kwa kuitokomeza Corona

Khaa!!

Mjomba! Sisi sote ni mapanya,nani wa kumfunga Nyau kengele?

Hatuna budi kumtoroka Nyau huko clabuni
 
Yap, kwenye nchi za kidictator wasema kweli wote huitwa magaidi, wasaliti nk. Na namna ya kuzuia wasema kweli ili ukweli wao usisambae, huwa ni kuagiza wauwawe, mfano Lisu. Haya mapendekezo yako sio mageni.
Sasa mkuu hapo wewe unashikilia ukweli upi wakati viongozi wenyewe ndio hao wanakana kuwa taasisi yao haijatoa waraka kama huo sasa wewe unacholazimisha hapo ni kipi hasa au wewe ndio mkweli kuliko viongozi wa hiyo taasisi ya kidini (maimamu).
 
Ukweli hauhitaji kukubaliwa na watu wengi. Kwa taarifa yako hata Ponda angesema haujui, bado ukweli ulio ndani ya ule waraka utajitetea wenyewe. Hata enzi za manabii, wengi waliuliwa na watawala kwa ajili ya kusema ukweli. Na watu wengi walikaa mbali na ukweli kwa ajili ya usalama wao, lakini ukweli ulisimama.
 
Wewe ndio unaye uona kuwa ni ukweli kwa mtazamo wako lakini hao walio husishwa kusema hayo wamekana hawajatoa waraka kama huo na wao kama taasisi wamesema huo waraka ni feki na haujatoka kwenye taasisi yao. Sasa hatakama kilichosemwa kwenye huo waraka ni cha kweli kama unavyodai wewe lakini tayari ushabatilika kutokana na ufake wa waraka wenyewe baada kukanwa na taasisi husika. Siamini kama huelewi hilo mkuu.
 
Mkuu ni watu wachache sana wanaweza kukubali waraka wa hivyo chini ya utawala wa kidictator. Lakini hata shehe Ponda angeukana, bado haiondoi chembe ya ukweli ndani ya waraka huo. Na kwa taarifa yako, chama cha CUF kilitoa taarifa kwa umma kuunga mkono waraka huo.
 
Kwafu hii hii ya polopesa?
 
Wewe ndio unaye uona kuwa ni ukweli kwa mtazamo wako lakini hao walio husishwa kusema hayo wamekana hawajatoa waraka kama huo na wao kama taasisi wamesema huo waraka ni feki na haujatoka kwenye taasisi yao. Sasa hatakama kilichosemwa kwenye huo waraka ni cha kweli kama unavyodai wewe lakini tayari ushabatilika kutokana na ufake wa waraka wenyewe baada kukanwa na taasisi husika. Siamini kama huelewi hilo mkuu.
Kubatilika waraka inategemea na mindset yako mkuu, kama ninaamini yaliyoandikwa ni ya kweli hata wakikana mimi nitayafanyia kazi
 
Nimependa sana hiyo mbinu ya Shura ya maimamu kurusha jiwe gizani, kisha ujumbe kufika vyema kwa umma, halafu wanakuja kukanusha wakati tayari ujumbe umefika kwa walengwa. Ningeshangaa sana kwa ukweli wa aina ule, serikali isiwafuate wahusika kimya kimya na kuomba po.

Ponda hawezi kuuukana huo wraka maan ayeye sio muoga.

Kwako Mzee wangu Mohamed Said Unamzungumziaje Sheikh Kundecha na kauli zake hizi.
 
Back
Top Bottom