Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Taarifa yao hii hapa
bakwata watakuja na " mnamuonea wivu mama kwa sababu ni muislamu"Tunasubiri Tamko la BAKWATA
Hao ni Tawi la ccm mkuuTunasubiri Tamko la BAKWATA
Wale ndugu zetu katika imani wanafedhehesha sana.bakwata watakuja na " mnamuonea wivu mama kwa sababu ni muislamu"
😁😁😁😁Hao ni Tawi la ccm mkuu
same old song.bakwata watakuja na " mnamuonea wivu mama kwa sababu ni muislamu"
Hao BAKWATA ni machawa kazibyao ni kulamba matako ya watawalaTunasubiri Tamko la BAKWATA
Hapo utasubiri sana mbona!Tunasubiri Tamko la BAKWATA
Thubutu yao! Usikute siku ya jana walifungiwa mahali, wakalishwa sahani za ubwabwa nyama na tende halua halua! Siku yao ikaenda vizuri.Tunasubiri Tamko la BAKWATA
BAKWATA wanalipwa na serikali ya CCM. HII NCHI NGUMU SANAThubutu yao! Usikute siku ya jana walifungiwa mahali, wakalishwa sahani za ubwabwa nyama na tende halua halua! Siku yao ikaenda vizuri.
Labda BakitaTunasubiri Tamko la BAKWATA
Shekh barikiwa sàn̈a.
Mungu wabariki Shura ya Maimamu Tanzania.
Tunasubiri Tamko la BAKWATA