covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 8,355
- 20,792
Tatizo la Bakwata ni elimu wale ni waswahili waliopata afasi kupitia shirki sasa wanaona wamemaliza dunia..bakwata watakuja na " mnamuonea wivu mama kwa sababu ni muislamu"
Tatizo la Bakwata ni elimu wale ni waswahili waliopata afasi kupitia shirki sasa wanaona wamemaliza dunia..bakwata watakuja na " mnamuonea wivu mama kwa sababu ni muislamu"
kwanini lisitoke tangazo kwa yoyote aliyepotelewa na ndugu yake toka mwaka jana october ,Tunasubiri Tamko la BAKWATA
HakikaUmoja Wetu Nguvu Yetu. Shura ya Maimamu Tanzania kongole sana kwa kuwa upande wa waTanzania kumbukumbu ya Mauji ya 29 Oktoba.
BAKWATA HAWANA TOFAUTI NA KKKKKKKTTunasubiri Tamko la BAKWATA
Vizuri kuona wameamua kujitenga na unafiki wa CCM na BAKWATA
Kwani shura ya maimamu ni budha?Wale ndugu zetu katika imani wanafedhehesha sana.
Nikuwaonea huruma tu
Ilianzishwa na Julius Nyerere akishirikiana na Paulo BomaniBAKWATA Jumuiya mojawapo wa chama dola kongwe CCM
Na huo ndiyo ukwelibakwata watakuja na " mnamuonea wivu mama kwa sababu ni muislamu"
Bakwata si ya Waislam woteHawa shura taasisi yao haijasajiliwa
Hawa ndiyo watu waliobakia wenye akili kwenye dini ya uislaam. Wengine wote ni masheikh ubwabwa.
Wanaweza ongezea na kwa sababu ni mwana kizimkazibakwata watakuja na " mnamuonea wivu mama kwa sababu ni muislamu"
Unawasubiri PAKATWA watoe tamko gani mkuu, hebu kuwa serious kidogoTunasubiri Tamko la BAKWATA
Safi sana sheikh. Samia Suluhu ni shetani halisi