Shura ya Maimamu yaomboleza Mauaji ya Kimbari ya Octoba 29 2025

Shura ya Maimamu ndiyo taasisi pekee iliyo chini ya waumini wa kiislam. Takataka BAKWATA ni jumuia hadaifu ya CCM, inatumika na CCM kuwahadaa waislam. Haishangazi kwa sababu ilianzishwa na CCM kwa malengo ya kisiasa.
 
Hii imekaa poa sana na hapa nimemuelewa sana shahidi wa Lissu aliyesema aliwashirikisha SHURA YA MAIMAMU ila hakwenda BAK WATA maana wao ni MCC B.
 
Hawa ndio waislamu wanaojali utu na haki sio wale wala ubwabwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…