Shura ya Maimamu yataka Mkataba wa Bandari Uboreshwe na haki itendeke kwa Makumi ya Masheikh walioko Jela nchi nzima

Nimesoma salamu hizi kutoka kwa shura ya maimam, imesheeni ukweli, imesheeni utanzania tupu!

Mh Rais, sikia kilio cha watanzania wenzako, Tunamaisha mafupi mno hapa duniani, na hii ndio nchi yetu pekee, hakuna Tanzania tena isipokuwa hii tuliyopo

Lengo la ubinafisishaji ni zuri lakini yaliyomo, ndio tunayakataa hayana ujema kwetu

Tanzania nchi yetu, amani na upendo ndio msingi wetu

Watu tutapita, Tanzania itabaki
 
Kumbe ile memorandum of understanding ya cristian council na Serikali ilikuwa ni mwaka 1992 ?! Kipindi Rais wa Nchi ni Alhaji Ali Hassan Mwinyi ?!
 
Mnafight the wrong enemy, wote wanafwata maamuzi ktk juu, na juu siyo Bongo, Bongo kuna wawakilishi tu …
 
Kumekucha

Sasa Mkataba wa Bomba la Mafuta tuliambiwa na Katibu Mkuu wa Chadema mh John Mnyika kwamba Shujaa Magufuli aliupeleka bungeni mwaka 2017 na ulijadiliwa na kuridhiwa

Naomba ufafanuzi hapo alhaj FF wa Jf!
FF wa JF ni hajat siyo alhaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…