Shy-rose Bhanji

Shy-rose Bhanji

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Akitokea kwenye utangazaji wa habari channel ten hakuna aliyemjua kiundani ni nani hasa. Baadae akaea P.R.O NMB hapo ndipo alipoanza kutambilika uhalisia wake akaingia kwenye mapenzi motomoto na mbongo fleva Jaffray, Skendo zikaanzia hapo akaingia kwenye siasa hapo ndipo alijipambanua hasa kwa rangi zake halisi.

Ni aina ya mtu ambaye yuko tayari kufanya chochote alimradi tu atimize alitakalo japo mengine ni ya aibu kwasasa ni mbunge katika bunge la Africa mashariki. Alichonifurahisha ni kuwa amekuwa muwazi kwenda kinyume na hotuba ya JK jambo ambalo limewashinda wana CCM wengi.
 
Marekebisho,alikuwa mtangazaji wa TBC,City Water kama msemaji then NMB na hatimae ubunge wa EAC for hook and crook!!!
 
Sugu alinifuraisha sana alimkojolea tena kwenye gari akiwa na flag ya magamba kweli kamanda ni kamanda tu!
 
hivi mapenzi na jafarai yalishaishaga.......

Bado wako pamoja, walimwagana na wamerudiana, siku moja nilienda kuosha gari kwenye car wash ya Jaffarai kukawa na mteja wa kizungu demu, akawa anamsomesha, mala ghafla Shyrose akatookea story zikabadirika akawa anazuga! Seat there everything will be alright polish inside and outside.
 
Akitokea kwenye utangazaji wa habari channel ten hakuna aliyemjua kiundani ni nani hasa
Baadae akaea P.R.O NMB hapo ndipo alipoanza kutambilika uhalisia wake akaingia kwenye mapenzi motomoto na mbongo fleva Jaffray
Skendo zikaanzia hapo akaingia kwenye siasa hapo ndipo alijipambanua hasa kwa rangi zake halisi
Ni aina ya mtu ambaye yuko tayari kufanya chochote alimradi tu atimize alitakalo japo mengine ni ya aibu
kwasasa ni mbunge katika bunge la Africa mashariki
Alichonifurahisha ni kuwa amekuwa muwazi kwenda kinyume na hotuba ya JK jambo ambalo limewashinda wanaccm wengi

Utuletee na picha zake mkuu
 
Bado wako pamoja, walimwagana na wamerudiana, siku moja nilienda kuosha gari kwenye car wash ya Jaffarai kukawa na mteja wa kizungu demu, akawa anamsomesha, mala ghafla Shyrose akatookea story zikabadirika akawa anazuga! Seat there everything will be alright polish inside and outside.

Kwani Jaffarai anaosha magari pale MayFair? Lakini Jaffarai si MTU HIVI HIVI haujali hata kidogo?
 
Walimwagana...!!kila mmoja akimtuhumu mwenzake kutokuwa mwaminifu kwenye mahusiano yao
Acha kupinda pinda kama kona za Iyovi kwenda Iringa.Shy alibanjuka na Sugu full stop Jaffary akashindwa ''kujua kuchapiwa ni siri ya ndani akatangaza''
 
Acha kupinda pinda kama kona za Iyovi kwenda Iringa.Shy alibanjuka na Sugu full stop Jaffary akashindwa ''kujua kuchapiwa ni siri ya ndani akatangaza''
Hahahahaaaa haya theki sio ugomvi nilikuwa najaribu tu kubalance
 
Back
Top Bottom