Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Akitokea kwenye utangazaji wa habari channel ten hakuna aliyemjua kiundani ni nani hasa. Baadae akaea P.R.O NMB hapo ndipo alipoanza kutambilika uhalisia wake akaingia kwenye mapenzi motomoto na mbongo fleva Jaffray, Skendo zikaanzia hapo akaingia kwenye siasa hapo ndipo alijipambanua hasa kwa rangi zake halisi.
Ni aina ya mtu ambaye yuko tayari kufanya chochote alimradi tu atimize alitakalo japo mengine ni ya aibu kwasasa ni mbunge katika bunge la Africa mashariki. Alichonifurahisha ni kuwa amekuwa muwazi kwenda kinyume na hotuba ya JK jambo ambalo limewashinda wana CCM wengi.