ShyRose Banji mitaani na bodaboda, ni mtu wa WATU?

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258


Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe Shyrose Bhanji akiwahi uwanja wa ndege kwa Bodaboda baada ya kukwama masaa kadhaa barabarani kutokana na foleni kubwa aliyokutana nayo akiwa mitaa ya Mikocheni jijini Dar es salaam

Source: Issa michuzi blog
 
Hii kusema ukweli na mimi ilinitokea December 8 2011, siku moja kabla ya maadhimisho ya Uhuru, nilifika uwanjani kaunta zikiwa zimefungwa bahati yangu nilikua mgeni mwalikwa na Go Uganda, Rubani akapigiwa simu nikawahi lakn ilikua nimeshafeli tayari
 
Michepuko sio dili dada, baki njia kuu.

Ukikutana na JK mwambie aboreshe miundombinu eeeh
 
Siku nyingine ajaribu "heli-charter", wapo hawa hapa chini, wanakufata mikocheni wanaku drop airport, 10 minutes. Au anaenda Sea Cliff anakula hewa 10 minutes to airport.

Everett Aviation offers discreet and professional services to all clients no matter what their requirements might be.
Heli shuttle services from Dar Es Salaam International Airport to the Holiday Inn Hotel roof top.
 
waipataje hii
 
Ila wenzao wakiwaambia bodaboda zinawawahisha kazini kwao hawaelewi wanaweka na askari...............malipo hapahapa mbona!!!!!

napendekeza awe balozi wa bodaboda
 
Ila wenzao wakiwaambia bodaboda zinawawahisha kazini kwao hawaelewi wanaweka na askari...............malipo hapahapa mbona!!!!!

kwanza zimekuwa kimbilio la ajira kwa vijana walio wengi nchini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…