Wa nyamadyaki
JF-Expert Member
- Mar 6, 2013
- 1,178
- 529
Huyu si mtu wa watu na awezi kuwa mtu wa watu, wewe humjui shyrose.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani we mji.nga umecopy picha humu jf alafu unaleta mada zako za kise.nge
Hivi mtu akipanda boda boda ndiyo anakuwa mtu wa watu...hapo Msasani anakwepa foleni ni kawaida kwa maisha ya Dar, haujawahi kumuona Kinana anaendesha gari la waya.
Anakimbia foleni inayosababishwa na uzembe wa chama chake...
Hivi mtu akipanda boda boda ndiyo anakuwa mtu wa watu...hapo Msasani anakwepa foleni ni kawaida kwa maisha ya Dar, haujawahi kumuona Kinana anaendesha gari la waya.
Hivi mtu akipanda boda boda ndiyo anakuwa mtu wa watu...hapo Msasani anakwepa foleni ni kawaida kwa maisha ya Dar, haujawahi kumuona Kinana anaendesha gari la waya.
Wiki lililopita nimemsindikiza jamaa yangu alikua anakwenda Norway kutoka mwenge mpaka kuikuta tazara ilituchua karibu masaa matatu.Kama unataka kwenda airport ondoka kwako masaa 7 kabla.
Kama unakwenda Ausha bora upande bus sasa tena linakukuta Mbezi mwisho kabisa maana ukiongeza na ku-check in masaa 9 na saa moja na nusu angani inafika masaa 11 wakati bus masaa 7 hivi upo Arusha na unakuwa umekagua shughuli za maendeleo kwa kuangalia mandhari
Siasa raha sana unachukua bodaboda na unamwambia bodaboda mwenzie akufotoe,hyo inaitwa Kigwangala style.